Nina bahati na Bikira

Nina bahati na Bikira

Kumbuka pia kuna bikra zina VVU..BE AWARE...
 
Sio jambo la kufurahia "kuharibu usichana wa ma binti" bali ni laana. Bikira inapaswa kuwa zawadi ya mume wake.

Binafsi, mke wangu nimemkuta BIKIRA (Tumeoana mwaka huu) na tulikaa kwenye uhusiano kwa miaka 5, kwa kifupi tulibikiriana (akiwa ni mwanamke wa kwanza kushirikia naye tendo hilo), tukiwa honeymoon.

Kama unataka Mungu akupe mwanamke aliyejitunza, watunze wengine na wewe ujitunze pia.

You will reap what you are sowing, young man. Change..!
Hongereni sana.
 
Hiyo nguvu ya desire ungeiamishia kwenye pesa, Ungekuwa kwenye list ya top billionaires. Sema ndo hivo hiyo nguvu ipo kinadharia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatongoza watoto wa chekechea wewe, usijifu bure kwa kuwadanganya na vipipi pipi. Darasa la saba mwenyewe sio bikira. Haya endelea tu dawa yako ishachemka na inafuruma na kumwagiga inasubiri kukuunguza tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom