Kuchunguza,kuibiana taarifa kuhujumiana,kuharibiana,kupo kati ya nchi na nchi hasa zinazohasimiana,makampuni ya biashara yanayozalisha bidhaa zinazofanana,vilabu vya michezo,hasa mpira wa...
wana JF,
Hakuna raha kama kumwachia mhudu wa bara keep change kila ukiagiza round hasa mkiwa wachache, kwa mazoea hayo itakusaidia kukwepa wabaya wako au itakusaidia kumpata mtu muhimu...
habari za jioni wana love connect
ninahakika humu hakuna mabinti wanaohitaji kupata wenza,maana vijana wengi wanajitokeza na kutoa detail zao,lakini hakuna mrejesho kwamba wamefanikiwa,nauliza...
Jambo?
Naamini wote mko poa.
Mimi sasa ni Dada Mkubwa sana hapa JamiiForums kwa umri wa kukaa jukwaani.
Maisha ya kudanga nimeyapitia na ninayajua vyema.
Hapa JF Kuna mabandiko yangu kadha wa...
Samahani sipo hapa kusema dini ya mtu lakini hili limekuwa tatizo la muda na karne kwa karne kwa karne inatosha jamani.
Vijana wangu wanalalamika sana kuwa wasichana wa kilokole hawashikiki...
Doh nimewamiss jamaan sijaja siku 5 sass ee nipo buzy na mgonjwaaa
Haya Leo nimekuja na ubuyuu
Jaman ndugu zangu na wadogozangu wa kike majamaa au waume Au boyfriends zenu wasipocheat...
Kuna dem Kaweka status kuwa "Alichonipa Mungu Mwanadam hawezi kukiondoa"
Nikamuuliza kwa Upole Bikra yako iko wapi..??
Ghafla namtumia sms haziendi nadhani mtandao utakua unasumbua
Assalam alaykum wana JF naitwa Nasry natokea Morogoro natafuta mchumba ambaye kwa uwezo wa mungu atakuja kuwa MKE In Sha Allah sifa nazozihitaji
1)awe muislamu
2)anaejistir kwa mavazi kuanzia...
Wadau,
Kwa mlio fuatilia mada yangu kuhusu kuhoji Ukubwa wa Uke/Papuchi/Kipochi Kinyoya/Kyuma/Tamu tamu...mtatambua kuwa Mjadala ulikuwa mkali: KUNA WALIOPINGA KWAMBA UKE NI ELASTIC...yaani...
Kwamba....
1. Ukiona Pete yako kila siku tu inakubana jua Mwenzako anakusaliti mahala na mara nyingi huwa na ama Yule Msimamizi wa Kiume au wa Kike au na Rafiki yako wa karibu ( mnaeshibana )...
Asalaam.
Naona vijana siku hizi wanahaha kushawishi wanawake, nyuzi za misaada ya kutongoza zimezidi.
Sio tunamoishi hadi humu tunaposhinda kubadilishana mawazo wengi tunatongoza tunakataliwa...
++
Familia ambayo mwanamke ndiye atoae maelekezo,amri na kukaripia kila aliyemo ndani kama mtoto mdogo,,ni wazi kuwa ndicho chanzo cha wanaume wengi kutelekeza familia zao.
++
Tim na Beverly...
Mjini Watu wanasema kwamba Mwanaume mambo safi unatakiwa uwe na kitambi kidogo cha kufutia kioo cha simu.....Sasa Mimi nasema hivi hili ndio lile Tambi la kufutia kioo cha Tablet ya Lenovo...
Leo mida ya saa 2 kuna jamaa kaja home .ngongongo nyingi getini .nafungua namkutaa jamaa sababu namjua ndo jembe ya sister nikamwita sister wewe Ashura njoo uku kuna mgeni wako.
Sasa kabla...
Je unafiki kuna muda sahihi wa kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi kama ndivyo, unafikiri inaweza kupunguza kuumizwa kwenye mahusiano hayoo, maana nahisi wengine tunakulupuka [emoji19]
Sent...
Kitu kibaya zaidi ya maumivu, ni pale mtu anajua unaumia lakini hajali kabisa kama unaumia, Embu jaribu kufikilia hilo [emoji22] [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wanaume wa Dar nani aliyewaroga?
Jamaa kaja home kukaa siku mbili tu kaja na chupi nane hadi nikashtuka, nikajiuliza jamaa anableed au?
Yani wanaume wa Dar ni hasara kwa Taifa.
Kuna rafiki yangu mmoja toka chuoni nilikuwa naye, huyu jamaa hakua ile die hard friend but tulikuwa tunajuana sababu alikuwa na akili sana kwenye 'namba' kwahiyo ndio mmoja ya watu waliokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.