Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Je huwa unatumia jina lake halisi/la utani/au lile unalolijua wewe mwenyewe
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Habar za jumapili wadau, polen kwa kaz, natumain muwazima wa afya na aman! Bila kuchelewa, ngoja niende straight to point. Mwaka juz, nilianza kusikia marafiki zangu wa kizungumza kuhusu vumbi la...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwa bahati mbaya umecheza na Mtoto halafu katika ile hali ya ' Utundu ' wake akaigusa ' Fimbo Lugoda ' yako ( namaanisha Uume / Mkuyenge wako ) kisha akakuuliza Anko / Dadii hii ni nini na mbona...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Jamani nisaidieni nimempenda binti ambae kila nikimgusia anasema anamchumba hawezi na hajawahi kufikiri kama ipo siku atanipenda Kuna wakati mimi huwa naamua kumpotezea ila akiona nimepiga kimya...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau Leo nimepiga show ya masaa 5 na demu fulani hivi Nursey lakini cha ajabu akuuliza Kondom nilipotaka kuzama kavu kavu yeye alitulia Tu wala akupinga Mwenyewe nikashtuka nikava Ndom fasta...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
SIFA ZANGU - Miaka 35 - Mkristo - Nimejiajiri na nina elimu ya kidato cha nne - Sijawahi oa na sina mtoto SIFA ZAKE - awe tayari kupima afya. - Mkristo na asiwe na mtoto -Elimu yoyote na kabila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Juzi nilikuwa Morena Hotel Napata Dinner nikaona mademu 4 wamekaa kama wanasubiria mtu, ukiwaangalia tu unaona kabisa hawa wanadanga, sidhani kama walikuwa wanafunzi maana sura na makeup zilikuwa...
6 Reactions
50 Replies
6K Views
Hellow A) Tunatafuta msusi wa aina zote za nywele za kike vigezo vinavyohitajika. - uzoefu wa mda mrefu -awe anajua kila aina ya style zote za nywele ikiwezekana na dreads -uaminifu -uwe na...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
napo mzungumzia swala basi jua ni mwanamke wakiswahili. Pia napo mtaja simba sio wa mikumi Wala yule mzawa wa tandale mwenye mjengo wake madale apa Na mzungumzia Mwanaume wa kitanzania. Nibora...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Aisee! Wanaume tumebaki wa chache sana. wiki kama moja hivi nyuma nimepanda daladala LA kawe nikakutana na jamaa kapaka rangi za kucha (baada ya tafiti yangu isiyo rasmi nikagundua zinaitwa...
0 Reactions
101 Replies
9K Views
Mtu alichukua hela ya ada kaenda kumpa mwanamke, alimnunulia iPhone, na vitu vingine vingi... Halafu kaja kugongewa na a guy alietambulishwa kama cousin. Investing so much of your time, money...
7 Reactions
111 Replies
13K Views
Napenda kuwauliza wanawake wa humu javini. Kati ya hao tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari wewe chaguo lako ni lipi? Nimekutana na maelezo kadha wa kadha kutoka kwa wanawake tofauti tofauti...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Hivi nyie wakaka mlivyohamna haya hivi Sijui mkoje. Rafiki yangu aliona simu inaiita kidogo nimtu tu wanafamiana naye akadai aje wale maisha kidogo tena mahali tulivu . Wakakutana mahala wakapiga...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Katika Rough Research ya Almost two years 2017-2018 upon the street, nimeweza kung'amua ya kuwa Asilimia kubwa ya Gays ni Smart People, Nikimaanisha ya kuwa Mashoga wengi ni watu walio Msmart...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
natafuta marafiki wa kike tu. Wa kubadilishana mawazo....! STRICTLY SINA MPANGO WA KUOA AMA KUWA IN RELATION.. NI PM KAMA UPO READY Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar wana jamii Imemtokea jamaa yangu naishi nae jirani ambae alikutana na demu mwez mmoja uliopita,wakakubaliana kuingia kwenye mahusiano na kupeana mda wa kuachana na wale wapenzi walioanza nao...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna huyu mchuchu bana nimezinguana naye mchuchu mwenyewe mshamba mshamba tu pia, ni zumbukuku flani hivi na ndo maana nimezinguana naye sasa kwa hasira alizonazo eti kaniambia ataniendea kwa...
9 Reactions
161 Replies
11K Views
Asalaam. Naona vijana siku hizi wanahaha kushawishi wanawake, nyuzi za misaada ya kutongoza zimezidi. Sio tunamoishi hadi humu tunaposhinda kubadilishana mawazo wengi tunatongoza tunakataliwa...
0 Reactions
5 Replies
883 Views
Katika Rough Research ya Almost two years 2017-2018 upon the street, nimeweza kung'amua ya kuwa Asilimia kubwa ya Gays ni Smart People, Nikimaanisha ya kuwa Mashoga wengi ni watu walio Msmart...
0 Reactions
4 Replies
758 Views
Nina miaka 27 nataka mpenz wa kike aliekua na ela maaana mm sina ela ya kuhonga.. Hata senti sina. Ata sugamamy frsh. Nimechoka umaskin
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom