Kumwachia Mhudumu wa bar keep change kuna raha

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,789
Reaction score
7,182
wana JF,

Hakuna raha kama kumwachia mhudu wa bara keep change kila ukiagiza round hasa mkiwa wachache, kwa mazoea hayo itakusaidia kukwepa wabaya wako au itakusaidia kumpata mtu muhimu unayemuutaji kama vile mpenzi mpya au hata kupata mwanandoa, haya ni matokeo mazuri ya wahudumu wa bara kwani wanaweza kukufanya hadi ukapata mke, hii inasaidia sana hasa wale midomo zege. Hii imenisaidia kupata chombo kipya pale club ya AKAPUKO bay ndani ya kijiji cha mbweni. Sijajua kama mambo yataenda vizuri au la ila roho imempata mtu niliyekuwa namwitaji na kumuwinda siku nyingi, ile anaingia tu toilet anakutana na ujumbe akamua kunisikiliza nyimbo zote za CD nzuri nilizoziandaa kumtayarisha anipokee. Sitajari ataniibiaje ila utamu nitakaohupata siku za usoni. niha yo tuuu.
 
Ulishawahi kujiuliza ni wangapi wanamwachia ?
 
w
Hoja nzuri hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
engi tuuu lakini wala mie sijari bali najari nimepata au nimepoteza, kuna siku unaweza wapelekea watuwenye malengo ya kukunywea pombe na chakula halafu wanasepa lakini huyu anamaliza kila kitu, na ukizingatia madada wengisiku hizi wanatuhtaji ila njia za kutupata mgumu hvyo mhudumu anarahishisha sana etiii
 
wana JF,

Hakuna raha kama kumwachia mhudu wa bara keep change kila ukiagiza round hasa mkiwa wachache, kwa mazoea hayo itakusaidia kukwepa wabaya wako au itakusaidia kumpata mtu muhimu unayemuutaji kama vile mpenzi mpya au hata kupata mwanandoa, haya ni matokeo mazuri ya wahudumu wa bara kwani wanaweza kukufanya hadi ukapata mke, hii inasaidia sana hasa wale midomo zege. Hii imenisaidia kupata chombo kipya pale club ya AKAPUKO bay ndani ya kijiji cha mbweni. Sijajua kama mambo yataenda vizuri au la ila roho imempata mtu niliyekuwa namwitaji na kumuwinda siku nyingi, ile anaingia tu toilet anakutana na ujumbe akamua kunisikiliza nyimbo zote za CD nzuri nilizoziandaa kumtayarisha anipokee. Sitajari ataniibiaje ila utamu nitakaohupata siku za usoni. niha yo tuuu.
Kila la heri kwa kupata chombo kwenye ofisi ya shetan

😳😳😳😀😀😀
 
Hivi unakimbilia wapi wakati unaandika? Tulia...edit yo thread and repost u sucker!
 
By CRE with no reason

[emoji252] [emoji479]
 
wana JF,

Hakuna raha kama kumwachia mhudu wa bara keep change kila ukiagiza round hasa mkiwa wachache, kwa mazoea hayo itakusaidia kukwepa wabaya wako au itakusaidia kumpata mtu muhimu unayemuutaji kama vile mpenzi mpya au hata kupata mwanandoa, haya ni matokeo mazuri ya wahudumu wa bara kwani wanaweza kukufanya hadi ukapata mke, hii inasaidia sana hasa wale midomo zege. Hii imenisaidia kupata chombo kipya pale club ya AKAPUKO bay ndani ya kijiji cha mbweni. Sijajua kama mambo yataenda vizuri au la ila roho imempata mtu niliyekuwa namwitaji na kumuwinda siku nyingi, ile anaingia tu toilet anakutana na ujumbe akamua kunisikiliza nyimbo zote za CD nzuri nilizoziandaa kumtayarisha anipokee. Sitajari ataniibiaje ila utamu nitakaohupata siku za usoni. niha yo tuuu.

Yaani hapo naunga mkono hoja mia kwa mia. Keep change inakufanya uwe mfalme, yeyote au chochote unachohitaji unakipata kupitia kwake. Na siku ikiwa mbaya anakuwa ndio mwenye kutoa faraja
 
Haya Ni Madhara Ya Kichwa Cha Chini Kusimama
 
Back
Top Bottom