Dada amtaki mwanaume wake kisa anavaa chupi

Dada amtaki mwanaume wake kisa anavaa chupi

kachonjo

Senior Member
Joined
May 25, 2018
Posts
161
Reaction score
198
Leo mida ya saa 2 kuna jamaa kaja home .ngongongo nyingi getini .nafungua namkutaa jamaa sababu namjua ndo jembe ya sister nikamwita sister wewe Ashura njoo uku kuna mgeni wako.

Sasa kabla sijazama ndani namsikia sister akimwambia yule jamaa sikutaki kwa nini utaki kukubali .kelele pale getini kidogo wapigane ikabidi nimwambie tu jamaa kuwa sister ana stress ivo amuche kidogo amtafute wakati mwingine kweli jamaa akakubali akasepa.

Sasa ikabidi nimwambie sister vipi wewe utaki mwanaume acha jeuri wewe demu tu basi sister akasema . Don simtaki yule mwaume anavaa chupi kwa nini asivae ata boxer simtaki mimi nivae chupi ata yeye avae chupi siwamini wanaume vaa chupi wanakuwa na mashaka.

Nimecheka kinoma leo hahahahaha .
Ila kweli mwenye niliacha kuvaa kyupi darasa la tatu tena ilikuwa ile TMk WANAUME lastk yake Ina rangi ya kijani njano Na nyekundu.afu Na majani ya bangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee na wewe unatatanisha, Dada ako anafuatwa na vidume mpaka getini unashabikia vitu vya kijinga namna hiyo, amang'ana agasarikire tasho okotema Mura.
 
Mi navaa "nyanya puzo" naomba namba za dada yako mkuu
 
Mbona Mimi dada za watu najimegea. Afu ni ujinga kumzuia dada ako asimegwe .uta mtimizia WW

Sent using Jamii Forums mobile app
Man mi niko tofauti sana, Dada angu namterm kama mama angu mzazi, huwa nampa heshima zote na najitahidi kumlinda kwa kadri ya uwezo wangu so, nikiona msela anamvizia aloo lazima yanifike kooni, nitaongeza ulinzi Mara dufu, simzuii kufanya ila afanye kwa siri sana asiniweke hadharani.
 
Tupo tofauti kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo mida ya saa 2.kuna jamaa kaja home .ngongongo nyingi getini .nafungua namkutaa jamaa . sababu namjua ndo jembe ya sister .nikamwita sister . Ww ashura njoo uku kuna mgeni wako.

Sasa kabla sijazama ndani .namsikia sister akimwambia yule jamaa sikutaki kwa nn utaki kukubali .kelele pale getini .kidogo wapigane. Ikabidi nimwambie tu jamaa kuwa sister ana stress ivo amuche kidogo amtafute wakati mwingine. Kweli jamaa akakubali akasepa.

Sasa ikabidi nimwambie sister .vipi ww utaki mwanaume acha jeuri ww demu tu. Basi sister akasema . Don simtaki yule mwaume anavaa chupi kwa nn asivae ata boxer .simtaki Mimi nivae kyupi ata yeye avae chupi siwamini wanaume vaa kyupi wanakuwa Na mashaka.

Nimecheka kinoma Leo hahahahaha .
Ila kweli mwenye niliacha kuvaa kyupi darasa la tatu tena ilikuwa ile TMk WANAUME lastk yake Ina rangi ya kijani njano Na nyekundu.afu Na majani ya bangi

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo ni mwanamme wa Dar au? Kama ni mwanamme wa Dar tafadhali aachane naye, wale ni magarasa tu, si wanaume halisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom