Kinadada mnapenda kutongozwa kwa maneno au vitendo?

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,732
Asalaam.

Naona vijana siku hizi wanahaha kushawishi wanawake, nyuzi za misaada ya kutongoza zimezidi.

Sio tunamoishi hadi humu tunaposhinda kubadilishana mawazo wengi tunatongoza tunakataliwa. Muda mwingine unakuta labda gia tulizoingia nazo sizo. Sehemu inahitaji gia kubwa wewe unapush ndogo.

Ok, kinadada tuambieni mnapenda kutongozwa saana kwa meneno au vitendo. Wewe huwa unalegea na kuukubali mtongozo haraka ukitongozwa saana kwa vitendo au maneno.

Tuambieni tubadilisha gear angani.
 
Wewe tulia na mkeo.. umetolewa mbio pm unakuja kuuliza eeeeh.. kwa humu JF maneno ndio yataongoza..
hahaha...coco za siku?

Nilishatulia bhana.

nawaulizia wenzangu wanaotaka wapate wa kutulia nao.
 
hahaha...coco za siku?

Nilishatulia bhana.

nawaulizia wenzangu wanaotaka wapate wa kutulia nao.

Nipo pouwaaaa.. haya waulizie ila usipojipenda utateleza humo humo kujatobu.. eeeh
Avatar yako inachanfanya sanaaaa kuhisi kwanza ni wewe.. pale paap
 
Nipo pouwaaaa.. haya waulizie ila usipojipenda utateleza humo humo kujatobu.. eeeh
Avatar yako inachanfanya sanaaaa kuhisi kwanza ni wewe.. pale paap
ni mimi... Ukiona baba kaweka profile ya katoto jua wifi yako kafanya yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom