Ushauri: Kama mumeo "ha-cheat" ni bora unyamaze kimya na umshukuru Mungu..

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,705
14,600
Doh nimewamiss jamaan sijaja siku 5 sass ee nipo buzy na mgonjwaaa

Haya Leo nimekuja na ubuyuu

Jaman ndugu zangu na wadogozangu wa kike majamaa au waume Au boyfriends zenu wasipocheat (wasipotoka nje wakachepuka) mumshukuru Munguuu bakini na siri zenu vifuaniii

Kuna methali inayosema siri ya maiti aijuaye mwosha.. Siri ya mpenzi wako baki nayo mwenyewee

Unapoamua kututangazi kwenye uma / umati kuwa mumeo hachepuki unajaribu kutuambia sisi raia kuwa:

1. Mumeo falo

2. Mumeo chini anamatatizo
Maaana ni sehemu ya maisha ya wanaume (DNA) kuchepukaaa lazima ampeleke mbwa kwenye mazoezi akanyooshe miguu akikaa ndani anakuwa kokoo na hamna mwanaume anaekubali kuwa koko

3. Mumeo anatembeza / anachepuka sana sasa unajaribu kutoa ujumbe kwa jamiii ya watu wazima (maana sisi watu wazima tukiskia tu unaimba nyimbo za mumewangu hacheat tunajua anacheat sasa unajaribu kujificha kwenye mwamvuli wa hachepuki (hacheat) ) kuwa unahitaji msaada ufanyaje maana ishakuwa too much

4. Mwanaume sio mwenzio ukae kumsifia kama mamako mzazi..
Kwanzaa hata hao wanaume wenzie wakiskia jamaa hachepuki wanamwona anashida kidogo au kunavitu anakuficha kama mpenzi wake. .. inshort anaonekana falo kwa wanaume wenzake kama sio mchelemchele

Hayo yote nimeongea hapo juu ya wanaume sio yote yanaweza kufanana nkwa wanawake. .. maana wanawake tunawoga flan hivi ijapokuwa wapo wanawake wanachepuka kama wanaume na kuzidi kwahiyo usikae ukamsifia mkeo / mpenzi wako kuwa hachepuki (hacheat)

Ni hayo tu kwa Leo ... nimemsikiza sana Riama Ally akimsifia mumewe kuwa hachepuki nikamwona anashida au Kuna kitu anajaribu kuficha uma

Kujitutumua nako kazi Jaman bora ukae tu kimya kama Money Penny hapa kimyaaaa

Msikilizeni dadaenu Riyama Ally hapa kwa video mcheke maana huyu mama ni sheedah mwanaume mwenyewe anaonekana kitombi hatarious!

Wahenga wanasema wako akiwa kwako akitoka nje wa wengine msemo una maana kubwa sana hiyo huyo riyama ashkuru tu Mungu hajawai mfuma mumewe chochote kibaya hata vitext lakini sio aseme hivyo wanaume wenyewe hawa mfyuuuuuu
 
Hizi mada sijui kama huwa mnamaanisha au nikujiburudisha tu,inapozungumziwa kutoka nje ya ndoa hivi mnajua kuna madhara gani?ukubwa wake ukoje,ninini hatma ya nafsi ya mtendaji akiishaondoka ktk huu mgongo wa dunia?akili yangu inaniaminisha kwamba huu ni utani au wengi wanaozianzisha hawaijui hii taasisi ya ndoa kiundani!
 
usiwe na jabza......
 
Hivi mnavyohalalisha kutoka nje kwa hao wanaume ndo kusema mmekubaliana na hali au?? Kwa nini uweke hyo akilini kuwa nwanaume lazima atoke nje ya ndoa?? Ndio hata kama wanatoka sio ndo tiketi ya kuwapa uhuru ki hivyo kuna siku utageuka kwa wanawake sasa waanze na wao kujisifia kuwa bila mchepuko ndoa hainogi kutakua na maisha ya ndoa hapo?? Jamani ndoa na Iheshimiwe hakuna kuchepuka kama bado una hamu ya kuchepuka usioe au usiolewe kwanza otherwise ukishaingia kwenye ndoa suala la kuhalalisha uchepukaji ni big Noo
 
Funny enough wanaohalalisha ni wanawake wenyewe
 
Haa haa nabii Tito nae n mlokole
Sasa Yule N kama alitumwa na
Lucifa

Af videm vyao vna mashart kama
Vnajioa vyenyewe
Hahahahah
1. lazima uokoke kama unanitaka
2. Lazima uende kwa mchungaji kama unanitaka kunioa akuone akikukubali utanioa
3. Hakuna kulala pamoja mpaka ndoa
 
Wahenga wanasema wako akiwa kwako akitoka nje wa wengine msemo una maana kubwa sana hiyo huyo riyama ashkuru tu Mungu hajawai mfuma mumewe chochote kibaya hata vitext lakini sio aseme hivyo wanaume wenyewe hawa mfyuuuuuu
Hawa ndio wanawekwaga ndani hilo mume likifa kwenye msiba wanakuja wanawake 100 na watoto 5 mgongoni wanasema alikuwa mtoto wa marehemu ndio hapo unaisoma namba
 
Hizi mada sijui kama huwa mnamaanisha au nikujiburudisha tu,inapozungumziwa kutoka nje ya ndoa hivi mnajua kuna madhara gani?ukubwa wake ukoje,ninini hatma ya nafsi ya mtendaji akiishaondoka ktk huu mgongo wa dunia?akili yangu inaniaminisha kwamba huu ni utani au wengi wanaozianzisha hawaijui hii taasisi ya ndoa kiundani!
Kwahiyo wewe ndio unajua sio? !
 
Hivi mnavyohalalisha kutoka nje kwa hao wanaume ndo kusema mmekubaliana na hali au?? Kwa nini uweke hyo akilini kuwa nwanaume lazima atoke nje ya ndoa?? Ndio hata kama wanatoka sio ndo tiketi ya kuwapa uhuru ki hivyo kuna siku utageuka kwa wanawake sasa waanze na wao kujisifia kuwa bila mchepuko ndoa hainogi kutakua na maisha ya ndoa hapo?? Jamani ndoa na Iheshimiwe hakuna kuchepuka kama bado una hamu ya kuchepuka usioe au usiolewe kwanza otherwise ukishaingia kwenye ndoa suala la kuhalalisha uchepukaji ni big Noo
Sawa mchungaji
 
Back
Top Bottom