Binafsi sikumbuki lini nilivaa chupi, boksa zenyewe ninazo 3 tu, kila moja invaliwa one wiki kabla ya kufuliwa.
Ikija kufuliwa maji yanakua meusi tiii ........wewe ndo mwanaume sasaBinafsi sikumbuki lini nilivaa chupi, boksa zenyewe ninazo 3 tu, kila moja invaliwa one wiki kabla ya kufuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ya mbuziHivi wanaume wa Dar nani aliyewaroga?
Jamaa kaja home kukaa siku mbili tu kaja na chupi nane hadi nikashtuka, nikajiuliza jamaa anableed au?
Yani wanaume wa Dar ni hasara kwa Taifa.
Mimi sikumbuki ata tofauti ya chupi za kike na kiume, nina boksa zangu 3, zinapeana zamu wiki moja mpk mbili kabla ya kufuliwa na kupewa likizo fupi ya wiki 2.