Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,688
- 17,107
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE
🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
Embu rudia tena kusoma hio threat utaelewa maana ya kubakwa kisaikolojiaMind has got no virgi,na so kubakwa kisaikolojia hakupo.
Labda wewe peke yako wenzio huku mtaani ji balaaacheni kujisafisha... siku hz hatuna habari na mademu tunawaza pesa tu..!!!
Umeona ee?!Hakuna kitu nakumbuka Kama enzi zile za kutongozwa nabaki nachora chini aiseee, siku hizi sijui wapoje
Yani me nikusaidie kusema wanaume wooote waliozaliwa kuanzia mwaka 86 mpaka 1999 ni matatizo kwenye kutongoza yani sifuri hamjui wachache sana nimeskia wako vizuri ila wengi wenu ninsheedahKama wamebakwa kisaikolojia basi wakashtaki panapohusika...
Na sio wanaume wote tupo hivyo..STOP GENERALIZATION
Mmmh!wanajibaka wenyewe ao
Umeona ee?!
Zamani buana tumekula raha sana sana
Mtu unaimbiwa one sweet day au nyimbo ya keith sweat you know you know you are my love baby, got me twisted one
Unaloa kabla hajamaliza gademit!
Alafu investment ya wanaume wa zamani kwako, mweeee utajipeleka mwenyewe kujiozesha,
Sikuhizi hata ya diamond hauimbiwa shenz type!
Yani ni mateso bila chuki acheni tu wanawake wawe na michepuko 100 maana elegance, affection, appreciation hamnaga tena
Skuhizi ni kama hautaki toka, yale yale ya alieoa wake wa2 weekend moja
Kwani nimekuita bruh! Mbona unamidadi?! aki ya nani Mungu awasaidie kizazi hiki, hawabaki kimwili wanabakwa kisaikolojia!
Lara 1 kaandika nini tenaaa sijapitia kwake mudaaaNilipokua nampitia @Lara1 ....... Ghafla imebadilika nakupitia wewe. Naona nnashabihiana....
![]()
![]()
![]()
Haha, M.P jamani umenikumbusha mbali, wakati mtongozo ulikuwa mtongozo haswa wa kupangwa vizuri na maua juu ambapo ki dume kinajiuma uma jinsi ya kuku approach...lol
Kuna mmoja huyo ile kuku ask out tu unapelekwa dinner kwanza, halafu kwenye dinner nako akaogopa kuongea akaomba eti twende for a ride kabla ya ku call a night halafu kwenye gari akaweka huu mwimbo.
Ukweli unauma ee?! Ahahahahawanawake bhana wala sio wa kujali story zao
Yani ni sheedah ya jamiiHuku ni kubakwa Ki saikolojia haswa!
Cos kwenye mtongozo sifuri, halafu mdada akiingia kingi kidume kikapata anachotaka ndo basi tena wanaanza mbele halafu anaacha binti anaugulia maumivu.
Yani ni sheedah ya jamii
Acha Mheshimiwa asemage hapa kazi tu maana washazoea kubweteka maana hata kutongoza haujui si ukafanye tu kazi
Kiru ahahahaha
Nilikua nampitia kabla ya kuanza kukupitia wewe....Lara 1 kaandika nini tenaaa sijapitia kwake mudaaa