mama chanja
Member
- Jan 1, 2016
- 67
- 66
Habari zenu,
I hope nyote mu wazima na mnaendelea vizuri na majukumu.
I have a huge problem, actually nina matatizo mengi kifamilia ila naomba niwaeleze hili ambalo limenishangaza sana sana and I don't know what to think anymore. Nina mama yangu ambae sio mtu mzima sana alinizaa kipindi yupo mdogo akiwa na miaka 18 tu this ye year she will be 42.
Kama miezi mitatu iliyoisha alinunua smartphone akadownload application mbali mbali kama Facebook, instagram, whatsapp na nyingine tofauti. Mimi nilikuwa chuo kwahiyo alinambia tu kwamba alinunua simu mimi sikuiona.
Bahati mbaya zaidi simu yake anaitumia vibaya, huko Facebook anakutana na wakaka wanabadilishana namba za simu wanaanza kuchat watsap, hao vijana wanamuomba awatumie picha anawatumia picha zangu akijifanya yeye ndio mimi na anawadanganya mambo mengine mengi tu.
Hizi habari nilikuja kuambiwa na binamu yangu niliporudi likizo juzi ambae aliniambia inabidi tu aniambie kwasababu alipoona hakupenda kwahiyo aliona ni vyema anambie ili pengine utakuta ni watu ambao naheshimiana nao au vyovyote, nilistuka sana nikamuuliza alijuaje akanambia kuna siku mama yangu alimuomba amsaidie kufuta chat za msg za watsap ndio akaona maongezi pamoja na picha zangu.
Niliumia sana nikaamua nifatilie mwenyewe ndio nikaona kweli anatumia picha zangu hao vijana, nikajaribu kuangalia na huko Facebook nikaona majina yao na jinsi wanavochat. Mara nyingi kila akinitext watsap huniomba sana nimtumie picha zangu na mara nyingine hunilazimisha kabisa nipige nimtumie nilikua sielewi kwanini ila baada ya kuona hayo ndio nikaelewa kwamba anataka awatumie hao watu.
Nashindwa kumuuliza, sijamuuliza na sijui kama nmuulize au vipi.. I don't know what to do, hajui kama najua maana sijamuonesha reaction yoyote, please advise me what do I do about this?
I don't prefer matusi na lugha chafu, kashfa au dhihaka ukiona huna cha kusema tafadhali nyamaza.