Baada ya kumwambia mke wangu kiasi cha mshahara wangu sasa najuta!

Kijana kijana

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,546
2,616
Wakuu kama ilivyo juu naombeni ushauri,

Wife nilimtajia kiasi cha mshahara wangu kutokana na umakini wake na kutokuwa na tamaa ila naona kama nimekosea hivi, maana deni kidogo utasikia mwezi huu ulipe kwa kuwa anajua inaingia kiasi gani. Je, hii ni poa wadau?

Naombeni maoni nifanyeje baada ya kufanya kosa hili kubwa?
 
WaKuu kama ilivyo juu naombeni ushauri,wife nilimtajia kiasi cha mshahara wangu kutokana na umakini wake na kutokupdnda tamaa ila naona kama nimekosea hivi,mana deni kidogo utaskia mwezi huu ulipe kwa huw Anajua inaingia pei gani hii poa wadau?

Naombeni maoni nifanyeje baada ya kufanya kosa hili kubwaa katika dunia hii

الجنون فنون
Kama ndoa bado changa usingetakiwa kumwambia, maana huo ni muda ambao mnautumia kusomana tabia na katika kipindi hicho ambacho kuwa ni ndani ya miaka 5. Hamuwezi kuaminiana ndo maana ndoa nyingi zikivuka miaka 5 hazivunjiki kiurahis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu
 
Dah.....
Uko Dar au Mkoa?:cool:
 
Ktk kosa la kubwa ulilofanya ni kumwambia mkeo mshahara wako.
Hawa viumbe ukisha waambia kiasi cha pesa huwa kama wanawehuka. Mshahara hata haujatoka amesha upangia bajeti yake..

Umekosea sana mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WaKuu kama ilivyo juu naombeni ushauri,wife nilimtajia kiasi cha mshahara wangu kutokana na umakini wake na kutokupdnda tamaa ila naona kama nimekosea hivi,mana deni kidogo utaskia mwezi huu ulipe kwa huw Anajua inaingia pei gani hii poa wadau?

Naombeni maoni nifanyeje baada ya kufanya kosa hili kubwaa katika dunia hii

#utakula kiburi yako.
 
Kama ndoa bado changa usingetakiwa kumwambia, maana huo ni muda ambao mnautumia kusomana tabia na katika kipindi hicho ambacho kuwa ni ndani ya miaka 5. Hamuwezi kuaminiana ndo maana ndoa nyingi zikivuka miaka 5 hazivunjiki kiurahis

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief keshakuwa mke tayar bado unamsoma Tabia, wenye kazi za kusafiri nje ya nchi muda mrefu watafanyeje sasa, mueleze ukweli mkeo usimfiche acheni tabia hizo.
 
Wakuu kama ilivyo juu naombeni ushauri,

Wife nilimtajia kiasi cha mshahara wangu kutokana na umakini wake na kutokuwa na tamaa ila naona kama nimekosea hivi, maana deni kidogo utasikia mwezi huu ulipe kwa kuwa anajua inaingia kiasi gani. Je, hii ni poa wadau?

Naombeni maoni nifanyeje baada ya kufanya kosa hili kubwa?
Endelea tu wala hukukosea, dadavua matumizi ya mwezi mzima na mengine utapata akili.
 
Yeye anafanya kazi?

Deni wakati linaingiwa uliona?

Uliamua deni liingiwe?

Nani aliamua?

Kama ulijua kua deni linaingiwa ulijua nani atalipa?

Wakati unajiuliza hayo maswali nakupa njia mbili.

1) Mwambie umeanza kukopesha kwa riba na kila mwisho wa mwezi kata kiasi utakachotunza ila ripoti kua umeshakopesha.

2) Kua mkaksi, usilipe uone hilo deni atalifanyaje.
 
Back
Top Bottom