Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,417
Wakuu,
Nina mke wangu Nesi,
Wakati anasoma, alisoma na mtoto wa kigogo mmoja mkubwa nchi hii
Sasa sijui hakumwona wakati huo chuoni.. Mimi nimeopoa jiko, nimelitunza, sasa analiona limewiva, anamtongoza kila leo.
Anajua kabisa ni mke wangu. Anamfuata hadi kazini na kumwomba amtoe Lunch.
Em niambieni wakuu, ninunue gun nikamtungue? Au nifanyeje?