quavio wa tz
Member
- Aug 22, 2018
- 88
- 36
Nina demu ambaye yeye ndio alinitongiza na ana mtoto mdogo. yeye ana miaka 18 na mimi nampenda but sijawahi hata siku moja kufikiria kufanya naye mapenzi .Na ndio kinacho nishangaza kabisa na ana nipenda hadi naona kero mda wote anataka niwe naye