Wanawake tuoneni huruma wame zenu mnatuzeesha

Wanawake tuoneni huruma wame zenu mnatuzeesha

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,295
Reaction score
11,586
Hapa sitaki wajumuisha wanawake wote tawatenga katika makundi mawili

Kundi la kwanza kuna wale wanawake ambayo wapo responsible na majukumu ya familia kwa kila kitu na mume yupo ila mume anajifanya hana habari na majukumu ya familia, hawa wanawake hii mada haiwahusu, nawapa hongera pia poleni kwa kupata mwanaume mizigo

Kundi la pili ni hili kundi la wanawake ambayo wameolewa au wanaishi na wenza wao, lakini wanajifanya watoto wadogo hawawezi jisimamia kwa kila kitu yani wao mume au bwana ndio kila kitu kwao hili ndio kundi nalotaka ongea nao

Jamani waoneeni huruma wame zenu na mabwana zetu mnawazeesha mapema, mnafanya wafe kwa msongo wa mawazo,

Yani wapo wanawake unampa kila kitu ajiongeze at the end anashindwa unabaki mshangaa uyu vipi mfano unaweza mtafutia mtaji, eneo la biashara ukampa A,B,C zote unamuacha sasa ajikwamue yani biashara ikidumu sana miezi minne unakuta kafunga yupo nyumbani ukimuuliza vipi atatoa sababu kibao haya ukimwambia haya basi lete pesa iliyobaki hana hata mia ukifutilia alipoipeleka unakuta kanunua manguo nguo taka taka za kidunia zisizo na maana yoyote

Haya wapo wale wa mama wa nyumbani mume anahakikisha familia aipati taabu basi anahemea kila kitu cha nyumbani na kumpatia mama watoto pesa ya bajeti ya nyumbani utashangaa umo ndani familia ratiba ya chakula inavyobadilila mtakula dagaa, maharage, na mboga za majani kila siku ukihoji vipi hapa mbona pesa ipo ila ratiba ya chakula na tunachokula nipo tofauti na kipato nilichokupa anakosa jibu, kupiga unashindwa unasema atabadilika uyu ila wapi

Sasa naomba kuwauliza wanawake wa aina hii hivi mpo kenye familia zenu ajili ya ngono tu au kujenga familia na kupata mafanikio maana mnawapa wamezenu mawazo wanashindwa Fanya mambo ya maendeleo kwa kuwaza mambo ya nyumbani ambayo kimsingi mama wa nyumbani ndio msimamizi mkuu.

Source; malalamiko ya wanandoa wengi tukunapo.
 
Ni vizuri unapokuwa na Mke mwenye kukusaidia majukumu ya Familia ila usipompata sio kuwa sio mke mzuri.
 
Shida ya kuchagua slay queens........mtoto wa kike anajifanya kama mtoto ..hatukatai ila waangalie na usawa
 
Shida ya kuchagua slay queens........mtoto wa kike anajifanya kama mtoto ..hatukatai ila waangalie na usawa
Huwa hawaelewi. Tena ukitaka ujue tabia zao mfungulie kabiashara au mpe mtaji akabla hujaoa ndio utafaham vizuri yaan hawajui lolote kichwani zaidi ya starehe na kula bata..
Na cha kushangaza zaid wengi wao nyumban ni choka mbaya, yaan hali ya maisha nyumban ni ngumu lakin wanataka kujionyesha kuwa ni high quality.

Ogopa unaoa mwanamke ambaye kichwani kwake anaona hana mchango wowote kwako zaid ya kukupa mbunye.. maendeleo haishiriki, mipango hashiriki, utamuona saa ya matumizi tu
 
Write your reply...hii mada inamfaa sana wifi yangu...naiscreenshot anywee chai asubuhi
 
Kuna maamuzi mengine kiumeni yalitungiwa sheria ya "maji ukiyavulia nguo, huna budi kuyaoga".

Hapo ndiyo utaona umuhimu wa uchaguzi wa mke bora tangu mwanzo.

Yani kama mwanamke hujamsoma mpaka unamuoa, na wewe ni tatizo.

Na kama anakupa tatizo kabla hujamuoa na unashindwa kummwaga, wewe pia ni tatizo.

Mnalaumu sana wanawake kama vile ndoa wanafunga wenyewe mnajistukia mko kwenye ndoa tu.

Kama unataka mwanamke mpiganaji katika ujasiriamali, kabla hujamuoa unampa milioni kadhaa aanzishe biashara anayoitaka, halafu unamsoma kama anaweza kazi.

Akishindwa ushapata jibu.Kabla ya ndoa.
 
Kweli kabisa ukikosea kupata mke mwema umekwisha. Nashukuru Mungu kupata mke anayejitambua katika management ya pesa kiduchu zinazopatikana. Raha ni pale mke anakuwa na uchungu wa pesa kama mhindi,hakika inapendeza yaani mpaka unamkumbusha sasa mama kafanye shopping nzito sio kila siku Mara waksi,viatu n.k
 
UKISHAMTAFUTIA MTU BIASHARA!
UKIMTAFUTIA ENEO LA BAISHARA!
JIANDAE KUIFANYA BIASHARA HIYO!
usimlaumu biashara hiyo ikifa au akishindwa kuchangia chochote kwenye familia kutokana na biashara hiyo!
 
UKISHAMTAFUTIA MTU BIASHARA!
UKIMTAFUTIA ENEO LA BAISHARA!
JIANDAE KUIFANYA BIASHARA HIYO!
usimlaumu biashara hiyo ikifa au akishindwa kuchangia chochote kwenye familia kutokana na biashara hiyo!
Asante kwa mchango mwepesi
 
UKISHAMTAFUTIA MTU BIASHARA!
UKIMTAFUTIA ENEO LA BAISHARA!
JIANDAE KUIFANYA BIASHARA HIYO!
usimlaumu biashara hiyo ikifa au akishindwa kuchangia chochote kwenye familia kutokana na biashara hiyo!
Ushauri wako ni upi?
Wajitafutie?
 
Huwa hawaelewi. Tena ukitaka ujue tabia zao mfungulie kabiashara au mpe mtaji akabla hujaoa ndio utafaham vizuri yaan hawajui lolote kichwani zaidi ya starehe na kula bata..
Na cha kushangaza zaid wengi wao nyumban ni choka mbaya, yaan hali ya maisha nyumban ni ngumu lakin wanataka kujionyesha kuwa ni high quality.

Ogopa unaoa mwanamke ambaye kichwani kwake anaona hana mchango wowote kwako zaid ya kukupa mbunye.. maendeleo haishiriki, mipango hashiriki, utamuona saa ya matumizi tu
Neno mbunye kiongozi limefanya nicheke
 
Back
Top Bottom