Kama una Mademu zaidi ya wanne, basi hii inakufaa

Kama una Mademu zaidi ya wanne, basi hii inakufaa

Fundi_Mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
745
Reaction score
1,355
Hii ni kwa wale wanaopenda au kutaka picha zao ziwekwe status.. ilihali una namba za mademu zako wote..

Nawasilisha kwenu
IMG_20180913_192659.jpg
 
Umenikumbusha mbali sana.

Bro angu alitembeaga na madada wawili kumbe ni mabest kinyama .

Siku moja tukiwa matembezi mara hao mbele yetu. Sasa mshikaji aanze nanan kusalimia na atumie mbinu gani kusalimia kimahaba??

Alichokifanya ,Akawakumbatia wote kwa pamoja aalafu akawambia "Nambieni Wake zangu" ....nao wakamsalimia kwa bashasha sanaa.

Ati siunajua mapenzi ni siri. Huja kua kikohozi siku za mbele kabisaaaaa wakat ambao mtuhumiwa keshakula mzigo.
 
Wewe endelea kuwatafuna Dada zetu kisha unawatema kama bazoka.

Siku yako inakamu,utatumbukizwa katika Shimo la hewa.

Ee Unatembeza rungu ka'Kipepe..??
 
sipotezi muda kuweka mtu wala status sijui wako wanne...japo nakuwa romantic na kuchepuka ila bado navaa ukauzu wa kiume..hayo mambo asinletee kumpost post ili iweje..mi natenganisha mahusiano na social media
 
Back
Top Bottom