Nimedhamiria kumshtaki mpenzi wangu mahakama ya mafisadi...

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,981
14,750
Aman iwe kwenu wadau.

Leo ikiwa ni siku ya jumapili, Nimedhamiria kumshtaki mpenzi wangu kwa ufisadi ambao amekuwa akinifisadia kwa miaka kadhaa sasa.

Nimeamua kukata shauri hapo kesho jumatatu kwenye mahakama ya Kisutu,

Kesi itasimamiwa na mawakili kutoka Russia, Israel, Marekani na South Africa..

Dondoo:
-Mpenzi wangu tarehe 26.06.2017 aliniambia nimtumie hela ya kwenda kijiji kwao Kigoma, nilim gharamikia kiasi cha hela halali ya Kitanzania Laki sita na sabini, uchunguzi ulio fanyika umebaini kuwa hakufika kwao badala yake aliishia kwa dada yake Ubungo Maziwa

-Tarehe 6 2017 niliidhinisha hela ya saloon kulingana na maelezo yake niliidhinisha kiasa ya shilingi laki mbili, na iliyo tumika ni shilingi elfu sita tu, nyingine matumizi yake hayajulikani yalitumika wapi..

-Tar 15 mwezi wa 4. 2017 kwa maombi yake aliniomba hela kiasi cha shilingi laki 4 kwa ajili ya manunuzi ya nguo lakini, hela iliyotumika ni Tsh elfu 40 nyingine haijulikani ilipo

Nimefanya makusudi kumshtaki ili iwe fundisho kwa wengine
 
Ulikuwa unatoa kwa hiari na hakuna mkataba wa kuweka kumbu kumbu kwa ajili ya ukaguzi! Imekula kwako. NB.Kesi haikidhi vigezo vya "ufisadi"
 
Aisee ulikuwa unahonga kwa kiwango cha lami boss.
Anyway huyo alisha kufanya shamba la bibi.. yaani ww ndio unamweka mjini.

Nakushaur usimshtaki kama huna evidence yoyote. Mpige chini halaf uone atavyohangaika hapa town.
 
risiti na document unazo mkuu nataka nuchukue tenda ya uwakili hapo ila idhinisha kwanza malipo ya awali mkuu nichukue shauri lako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom