WANAWAKE KAZI KWENU:

WANAWAKE KAZI KWENU:

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Wewe mwanamke Upo kwenye hatari ya kutobeba mimba (Ujauzito) kama umekuwa ukitumia kondomu kwa kipindi kirefu.

MADHARA MENGINE:
*Muwasho
*Uzazi kuwasha/vipele kwa ndani
*Majira kubadilika
*Harufu chafu
*Kichwa kuuma
*Mafuta kwenye tumbo
*Saratani/kansa ya kizazi
*Homa/kibaridi cha mda
*UTI
*Uvimbe
*Uchafu wa kuta ya kizazi
 
Cjui kafanyia wapi huu utafit wake
 
Acha uongo we agent wa shetanii
Unatupotosha ili tupate ugonjwa usio na dawa tukome kabisa kinga ni muhimu kwa wasiokwenye ndoa .
Koma kabisaa kadanganye wachumba zako.
Tena waambie wasitumie hata vidinge vya majira
 
Asante kwa darasa ulilotoa.

Sasa kazi ni kwao watumie au wasitumie au waache kabisa ngono.
 
Du wewe ni professor aki ya Nani na wakiendelea kuyatumia matambala hayo ni kansa ya kizazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom