Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hellow wana JF jukwaa la MMU, Mwenzenu sasa ni kijana mkubwa, umri miaka 29 nimechoka kukaa peke yangu, i need to have someone we can cherish this life together. Mwenzenu sitafuti mpenzi tu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sio kwa baridi ile yani dushe wiki nzima imelala???
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Mambo vip guys...........Nimewamith sana Leo nina kastory kadogo tu, Pia nimekuja kuwapa hai wadada walio olewa na wanaume wenye kazi kama hizi kwa uchache tu, Nitaziorodhesha chache sio zote pia...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna mtu kaniambia arusha hakuna wanaume eti wengi waoni vilaza is it true??? Naombaa nijuzwe
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Kwakweli hali ni tete....hali n mbaya....hela hazionekani Na zikionekana hazikai Lakini hali ni ngumu zaidi kwa hawa dada zetu Madanga wameachia usukan Wanaume wanaohonga n wachache sana....nao...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sina maneno mengi leo. Nataka kuwakumbusha wale tunaotarajia kuoa, kuolewa. Katika kufuatilia kwangu haya mambo, nimebaini umaskini unakua kama chain. Kama mwanaume wewe ni maskini na bahati...
19 Reactions
134 Replies
16K Views
Salaam kwenu tena wanajukwaa, ama baada ya salamu naomba kuuliza juu ya jambo hili. Hivi ni kweli kua kuna mahusiano kati ya wanandoa na uwezo wa kielimu baina yao? Yaan je ndoa inaweza kudumu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama Demu ako anaitwa Brenda, ni mrefu, mwembamba, mweupe na anasafiri kwenda Arusha kapanda Basi la Kilimanjaro Namuona hapa anaongea na jamaa mwingne pembeni yake tokea safari imeanza, Na...
37 Reactions
315 Replies
17K Views
Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Ni Mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3. Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi...
3 Reactions
401 Replies
45K Views
Niliwafundisha watoto kumsalimia mama asubuhi wakiamka. Imekuwa wakiamka tu iwe saa 11:30 au 12:00 wanafungua mlango imebidi kanuni ibadilike. Siku ianze 12:00 alarm ikilia.
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Unatembea na mwenzio,ndugu/jamaa au rafiki,mara paap unaokota Bunda la Noti Tsh. Millioni mbili (2,000,000),Huyo ulieongozana nae utampatia shilingi ngapi? Binafsi nitagawa equally,kama yeye ndie...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wana mmu, Kwa uelewa wangu maisha ya sasa ya mahusiano yako hivi:- 1.Suala la usaliti ni la kawaida, Mtu kuchapiwa au kuchapa mke wa mwenzako jambo limekuwa kawaida sana hili kama vile...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za J2 wana MMU Kama mada inavyojieleza Mabinti wa siku hizi ni balaa tupu Mwezi wa 5 nlikutana na binti wa miaka 20 na nashukuru hadi umri huo alikua hajaguswa,nahisi kutokana na umbo lake...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Za nyakati hizi mimi ni msichana age miaka 27 natafuta mwanaume karibu na mimi arusha au moshi . Maana wa mbali kujenga mahusiano nitakuwa najidanganya mimi najiamini . Ni mzuri ,mkarimu na pia...
4 Reactions
85 Replies
5K Views
Kama huko kwenye ndoa na unawatoto wa 20+ inabidi uwe na msimamo. Hapa vijana wa kiume wanaanza kuwa na wivu kama mama anadate mtu ambae si Baba yao.Kama hujatulia unaweza kuchanganya madanga na...
19 Reactions
33 Replies
3K Views
baada ya kumfukuzia mwanamke mmoja kwa muda mrefu juzi jamaa akafanikiwa kumpata huyu mmama, aliwahi akalipia chumba, muda si mrefu bibiye alitinga ndani akiwa tayari kumegwa lakini cha ajabu...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Kama kuna zawadi ambayo pekee ukimpa mwanamke hatakusahau,ni mimba. We honga gari,meli na hata jet,bado mwanamke anaweza kukusahau.Hawa watu wamapenda sana pesa,lakini hata ukihonga bank kuna siku...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwanza nianze kwa kusema ' Shikamooni Wanawake wote Tanzania '. Pili kama ningekuwa natakiwa Kugawa ' Tuzo ' ya Heshima leo hii ambayo ina hadhi ya Kimataifa basi ningempa huyu Mwanamke ambaye...
22 Reactions
55 Replies
8K Views
Ukitaka Mkeo au Mpenzi wako asitongozwe au asisumbuliwe na Mwanaume Mkware / Bazazi Wewe anza tu ' Kujitangaza ' kwamba unatokea Mkoani Mara ( Musoma ) kwani imegundulika ya kwamba Wanaume wengi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…