Kilichagaa19
Member
- Sep 14, 2018
- 83
- 46
Kuna mtu kaniambia arusha hakuna wanaume eti wengi waoni vilaza is it true???
Naombaa nijuzwe
Naombaa nijuzwe
Si wakorofi . Kama ni hivyo na wanaume wa musoma wasemeje?Inawezekana! Watu wengi wa Arusha ni wakorofi sana, na mara nyingi watu wakorofi wana Iq ndogo. Wengi hukimbilia kutumia mabavu badala ya akili.
Hahaha ukilaza ni sifa ya mtu mmoja mmoja si sifa ya wanaume wa mkoa fulani .Kuna mtu kaniambia arusha hakuna wanaume eti wengi waoni vilaza is it true???
Naombaa nijuzwe
Kuna mtu kaniambia arusha hakuna wanaume eti wengi waoni vilaza is it true???
Naombaa nijuzwe
Sasa kama hakuna wanaume je hao vilaza ni wanawake?Kuna mtu kaniambia arusha hakuna wanaume eti wengi waoni vilaza is it true???
Naombaa nijuzwe
Halafu ni kweliSiyo vilaza, ni watafutaji wapambanaji, sema kuna tatizo kubwa sana linaendelea Arusha na moshi kwa vijana, pombe na bangi inaua nguvu kazi mika 20 ijayo itakuwa haina same work force, intelligent and hard working people...bangi!music(hiphop) na ujambazi
We ndio utaendaUwendi mbinguni wewe
Sijui sasaSasa kama hakuna wanaume je hao vilaza ni wanawake?
We ndio utaenda
Yesumekula??
SijuiWewe mwenyewe umeambiwa sasa tumwamini yupi