Natafuta kifaa cha karibu a town

Kilichagaa19

Member
Sep 14, 2018
83
46
Za nyakati hizi mimi ni msichana age miaka 27 natafuta mwanaume karibu na mimi arusha au moshi .
Maana wa mbali kujenga mahusiano nitakuwa najidanganya mimi najiamini .
Ni mzuri ,mkarimu na pia napenda sana kupika , na mitoko.
Sifa kwa mwanaume
Mrefu wastani mzuri wa moyo na akivalishwa anavalika.
Awe tayari kunijali awe nakazi na elimu pia .
Umri 30 - 36 sitaki kuwa na wazee sanaa .
Nitazeeka pia .
Najiamini sipendi watu serious hata hawacheki napenda watu wacheshi na saa yakazi ni kazi .
Awe mkweli kabisa .
Kunijali ni sawa .
Nataka wakuniliwaza sio wa kero na stress .
Kama uko single ni pm only arusha and moshi plz.
Kuoana ni mipango kama ikitokea poa .
Ila kuwa na kampani sio mbaya.
Karibuni kwa masingle boys.
 
Nimependa hapo eti saa ya kazi ni kazi !! Siyo nanihilu moja tu jamaa anakupa mgongo! Mimi nimezeeka kidogo ila hii ningeiweza.
 
"Kuoana ni mipango kama ikitokea poa .
Ila kuwa na kampani sio mbaya"...hapo tu ndo pamenivutia, tatizo vigezo vya mkoa na umri vimenishinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom