Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,503
- 2,277
Habari wana mmu,
Kwa uelewa wangu maisha ya sasa ya mahusiano yako hivi:-
1.Suala la usaliti ni la kawaida, Mtu kuchapiwa au kuchapa mke wa mwenzako jambo limekuwa kawaida sana hili kama vile kusimamisha bajaji isiyo na mteja...
2.Hata uwe mkamilifu vipi katika mahusiano utasalitiwa tu, labda mkaishi Pluto mkiwa wawili tu
3.Ukiwa na elfu 50000 unatafuna mke wa mwenzio kiulainiiiiiiiii
4. Hata uwe na pesa nyingi, walinzi wengi na mengineyo mengi......wahuni watakuibia tu
5.Yani point zimeisha ila sie wageni tunaoelekea safari ya ndoa tujiandae kisaikolojia
Hitimisho: Pesa, sio sababu ya kumfanya mtu atulie, hata aweje au iweje usaliti upooo!!!! haiwezekanani uishi nae miaka 10, halafu asichepuke ke/me hahahahaaaa
................karibuni..........