nini kinasababisha hii hali

nini kinasababisha hii hali

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,865
Reaction score
833
baada ya kumfukuzia mwanamke mmoja kwa muda mrefu juzi jamaa akafanikiwa kumpata huyu mmama, aliwahi akalipia chumba, muda si mrefu bibiye alitinga ndani akiwa tayari kumegwa lakini cha ajabu mashine ya jamaa iligoma kabisa kudinda. walikaa muda sana pale room bibie akavua nguo zote lakini mashine ya jamaa iligoma kabisa kwa hiyo hakuna kilichofanyika kabisa. yule mwanamke alimtukana jamaa akamwambia aache tabia ya kuwasumbua wake za watu. baada ya hapo inamaana jana jamaa alianza kumsumbua huyu mama kwamba aende wakapige shoo sasa yupo fiti lakini bibie alikataa maana ameshamchukia.
je hali hii ilisababishwa na nini?
IMG-20180819-WA0030.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
je hali hii ilisababishwa na nini? View attachment 846494

Sent using Jamii Forums mobile app
kiti cha kwanza

na hilo tikiti hapo pembeni
 
Hofu ,woga ulimshinda!!

Sema nn kuna jamaa wake zao wamewawekea tego. Huwezi mmega ng'oooo!!!
 
baada ya kumfukuzia mwanamke mmoja kwa muda mrefu juzi jamaa akafanikiwa kumpata huyu mmama, aliwahi akalipia chumba, muda si mrefu bibiye alitinga ndani akiwa tayari kumegwa lakini cha ajabu mashine ya jamaa iligoma kabisa kudinda. walikaa muda sana pale room bibie akavua nguo zote lakini mashine ya jamaa iligoma kabisa kwa hiyo hakuna kilichofanyika kabisa. yule mwanamke alimtukana jamaa akamwambia aache tabia ya kuwasumbua wake za watu. baada ya hapo inamaana jana jamaa alianza kumsumbua huyu mama kwamba aende wakapige shoo sasa yupo fiti lakini bibie alikataa maana ameshamchukia.
je hali hii ilisababishwa na nini? View attachment 846494

Sent using Jamii Forums mobile app
Siuseme tu ni wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna stori za uswahilini zinasema mwanamke ukiwa naye chumbani ila akafunga fundo kwenye kitenge akaja nacho humo chumbani ub00 hautasimama.

Hiyo ni uswazi.

Mimi nasema.
Kupania gemu, kukuru kakara za kabla mwanamke kuvua, irrational fear and expectations za kitachotokea ndiyo kimesababisha.
 
Hii iliwahi kunitokea miaka michache iliyopita nilitamani kulia kabisa. Nilihisi sio mimi kabisa.
Niling'ang'ana mpaka nikapata erection kwa tabu sana nikapiga kimoja.... aisee usiombe hii hali ikukute unaweza kumtoroka mtu ndani.
Sema yule duu hakujua nini kinaendelea nilizuga siko fresh kutokana na mihangaiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom