JEE HII NI KWELI???

JEE HII NI KWELI???

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,369
Reaction score
3,178
Salaam kwenu tena wanajukwaa, ama baada ya salamu naomba kuuliza juu ya jambo hili.

Hivi ni kweli kua kuna mahusiano kati ya wanandoa na uwezo wa kielimu baina yao? Yaan je ndoa inaweza kudumu iwapo mmoja kati ya mwanaume na mwanamke kua amemzidi elimu mwenzie? Yaan mwanamke mfano kumzidi mwanaume kielimu je haiathiri chochote kwenye ndoa?... au msingi ni PESA TU....
 
Upendo ndo jibu la yote . upendo hauna majivuno,hauna kiburi upendo huweza yote
 
Wanawake wenye elimu zaidi ya mwaume most of them are uncontrolled.
 
Back
Top Bottom