Zawadi pekee kwa mwanamke asikusahau

Zawadi pekee kwa mwanamke asikusahau

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,633
Reaction score
7,021
Kama kuna zawadi ambayo pekee ukimpa mwanamke hatakusahau,ni mimba.
We honga gari,meli na hata jet,bado mwanamke anaweza kukusahau.Hawa watu wamapenda sana pesa,lakini hata ukihonga bank kuna siku atakusahau
 
Sasa wewe endelea kujidanganya na zawadi ya mimba. then mwingine amuongezee mimba utakuja na uzi mwingine hapa.
Haya mambo yabaki kama yalivyo, Cha msingi omba na kusali upate wa kufanana nawe mpaka kifo.
 
Kama kuna zawadi ambayo pekee ukimpa mwanamke hatakusahau,ni mimba.
We honga gari,meli na hata jet,bado mwanamke anaweza kukusahau.Hawa watu wamapenda sana pesa,lakini hata ukihonga bank kuna siku atakusahau
Endelea kujidanganya man. Utazalisha na atachepuka tena.
 
Kama kuna zawadi ambayo pekee ukimpa mwanamke hatakusahau,ni mimba.
We honga gari,meli na hata jet,bado mwanamke anaweza kukusahau.Hawa watu wamapenda sana pesa,lakini hata ukihonga bank kuna siku atakusahau
Unaweza kumpa mimba hata 2 ili usisahaulike lakini akakuua mwenyewe ili akusahau kabisa.

Usiyoyaweza muachie Mungu tu
 
Back
Top Bottom