Siku ianze alarm 🚨 alarm ikilia

Siku ianze alarm 🚨 alarm ikilia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Niliwafundisha watoto kumsalimia mama asubuhi wakiamka. Imekuwa wakiamka tu iwe saa 11:30 au 12:00 wanafungua mlango imebidi kanuni ibadilike. Siku ianze 12:00 alarm ikilia.
 
Alarm ikilia na mama anaacha kila analofanya anakuwa tayari kwa shikamoo
je ule muda wa kwenu wewe na mr mmeweka alam?
isije ikawa muda wa mambo alam hiyoooo... ngriiiiiiiiiii ngriiiiiiiiiiiiiii... watoto hao mbio wanavamia MAMA SIKAMOO BABA SIKAMOO.... 😛😀😀😀 Mnaanzaje kuitikia hapo wakati mkoooo😛😛
 
Inabidi tuishi kwa amri ya alarm ikilia na baba anashika Bible
 
Back
Top Bottom