Kwani kutongoza/kutongozwa kuna muda maalum?

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Mzuqa

Leo alfajir nilipokuwa nawahi mzigon nikamtokea mdada mzuri mwafrika. Akanijibu kwa ghazab hey its morning am not interest.

Nikashangaa kwani kutongonza ina muda maalum ila hawa dada zetu.

Pia kuna siku nilikuwa natembea kwa kas huku nakula nikapishana na mbaba flan mwafrika eti akanimaindi hajui nilianza kazi saa kumi alfajir hapo nawahi usafiri niunganishe kazi nyingine sina mda wa kupoteza na njaa hapo inauma

Kuna vitu vingene vikikuudhi unapotezea tu
 
kuna take away kama burger soda biskuti. Siyo ugali wali

Wenye yao mbona wanapiga msos tu wakitembea
Mkuu hayo ni mambo ya wa mbele huko...wao hawana muda wa breakfast wala muda wa lunch ...[emoji2] unapiga kazi huku unakula...hakuna kwenda kwenye ofisi ya mtu eti ukaambiwa ni beakfast time...ila huku sasaaa...chai unaenda kunywa nusu saa..lunch masaa..duh bado tuna safari..we jilie tuu ukila vumbi up to yooo
 
Upo mkuu kuanzia SAA 4:00 asubuhi mpaka SAA 6:00usiku

Tofauti na hapo itakuwa Ni dhihaka hutakubaliwa kamwe
malengo yangu nikufanya kazi hivi hadi 2020 halafu sibebi tena boksi. Ila inabidi uwe na uvumilivu hizi kazi ila salary slip ikija two days bfo pay day unasahau yote
 
Mzuqa

Leo alfajir nilipokuwa nawahi mzigon nikamtokea mdada mzuri mwafrika. Akanijibu kwa ghazab hey its morning am not interest.

Nikashangaa kwani kutongonza ina muda maalum ila hawa dada zetu.

Pia kuna siku nilikuwa natembea kwa kas huku nakula nikapishana na mbaba flan mwafrika eti akanimaindi hajui nilianza kazi saa kumi alfajir hapo nawahi usafiri niunganishe kazi nyingine sina mda wa kupoteza na njaa hapo inauma

Kuna vitu vingene vikikuudhi unapotezea tu
Umenistaajabisha na huu uzi wako kwa maelezo yafuatayo: kufokewa kwa kumtongoza mwanamke muAfrika alfajiri na kisha kumaindiwa na mwanaume muAfrika wakati upo barabarani ukitembea huku unakula ukiwahi parttime job!

Yaani kumaindiwa na jibaba kwamba lenyewe ni gay au liliona wewe una tabia za kike kwa kutembea huku ukila manjiani, maana halisi ni nini hasa?

Anyway!
Kutongoza mwanamke ni mchezo wa kucheza na saikolojia ya mhusika!

Kwa sisi wazoefu hutumia salamu kama chambo cha kutengenezea vigezo vya kuanza kuhangaika naye!

Anavyojibu salamu yangu tu moja, hunipa jibu halisi ya alivyo na haina muda maalumu wa kumuanzisha.

Kwa kuwa mapenzi ni biashara, ukijiona wewe ni mkware na huna uwezo wa kujenga hints za kutongozea harakaharaka na kulainisha, tumia makuwadi.

Uwe kama waheshimiwa mawaziri ama wabunge, unamnyooshea tu kidole mwanamke umtakaye kisha kumnasa bila jasho.

Ama ukiona na hilo linakupotezea muda, unatoa oda tu 'lete watatu' kisha wewe kufanya 'vetting' chumbani kwako, wameshalainishwa kabisa hauhangaiki kuuza lugha.

Tena hapo ndiyo utakapoona uthamani na matumizi halisi ya fedha zako kama wewe ni kadume ama kidume.
 
Aisee
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu
 
sawaaa "", hii hints naihifadhi kichwani'" nikishauza nyumba yetu ya urithi" watanijua vyema
 
Back
Top Bottom