HEBU SEPA HUKOO:

HEBU SEPA HUKOO:

BIG KAKA

Member
Joined
May 19, 2018
Posts
20
Reaction score
10
Mambo ajee wakuu?poleni na mihangaiko ya kujenga tz..Leo katika mishe zangu nimekutana na mrembo wangu wa enzi hizoo aliyeuteka moyo wa mie Big kaka mpaka nikashindwa kupata na usingizi yaani ilikuwa ni balaa...ilikuwa MWAKA 2010 Mara tu nilipo hitimu shahada Yangu ya kwanza nilipata tempo ya kufundisha math katika shule moja ya Sec huko mbeya ingawa teaching it's not my professional siku ya kuripoti kazini ndiyo nilipokutana na huyo mrembo Toto la kinyatulu yaani kaumbika kila idara yaani kifuani chuchu SAA sita,kiuno kama dondora huko nyuma ndo balaa,rangi ya chungw,guu la bia in short alikuwa ni kifaa cha uhakika,basi akanikaribisha kwa tabasamu paana na kunipokea mizigo Yangu mpaka ndani kwa Mkuu wa shule hiyo baada ya utambulisho ndio nikajua kuwa Yule mrembo aliyenipokea ni mtoto wa kwanza wa Mkuu wa shule na kwa wakati huo alikuwa kidato cha tatu..kimoyomoyo nikajisemeaa mbona kama naona miaka 30 ya jela inanikaribia...kweli uwalimu ni witoo duu! Nikaomba MUNGU anisaidie maana in short dent alinichanganya balaa..basi nika anza kazi rasmi ya kufundisha math 4m3 na 4m4 katika shule hiyo nikajitahidi kuwa mvumilivu ili nicje haribu kazi sababu ya mapenzi.zaidi nikawa karibu sana kumsaidia yule binti kimasomo kama mwalimu wake tuu wala sikutaka kumuingizia ishu ya mapenzi na shule mpaka mwaka 2011 alipo hitmu kidato cha NNE na wakati huo alikuwa na umri wa miaka 18 ndipo nilipo mwaga ya moyoni kwamba limoyo langu lime mdondokeaa....itaendelea baadayee wakuu....
 
Yaani graduate wa chuo huwezi kuandika ki story kifupi hivyo kikaeleweka.
Huweki aya ,huna vituo baada ya sentensi yaani kama vile umetype kwa kutumia miguu.

Jifunze kwanza kuandika ndio ukatongoze wasichana. Usije kuanza kumtumia msichana message za " MIMI NI BIGIKAKA NAHOMBA KUHONANA NA WEWE"
 
Kichwa cha habr na ulichokiandika haviendani hata punje

[emoji30][emoji30]
 
Umesema wewe ni MHITIMU WA SHAHADA YA KWANZA!!!!
😳😳😳😳
 
Yaani graduate wa chuo huwezi kuandika ki story kifupi hivyo kikaeleweka.
Huweki aya ,huna vituo baada ya sentensi yaani kama vile umetype kwa kutumia miguu.

Jifunze kwanza kuandika ndio ukatongoze wasichana. Usije kuanza kumtumia msichana message za " MIMI NI BIGIKAKA NAHOMBA KUHONANA NA WEWE"
Ahaahaaa NO one is perfect Mkuu ili mradi ujumbe umefika na unaeleweka ila thanks..
 
Muda wote ulikuwa haujui kwamba anakucheat?
Yaani uliwafumania au text tu ndiyo uliona?
Usingemshtua mapema
Dah hii story inasikitisha sana
 
Madhara ya kupata shahada kwa ujanja ujanja ndio haya. Unadhalilisha shahada yako.
 
Back
Top Bottom