Endapo ungejikuta kwenye hali kama hii, ungefanya nini?

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
211
145
Umelala usiku unastuka unamkuta mkeo kashikilia kisu kikali katika pozi hili unamuuliza anakwambia eti alikuwa anakutania tu utamuelewa au utachukua hatua gani mdau ?

FUNGUKA tujadili hapo chini kwenye Comments

IMG-20180920-WA0031.jpg
 
Hata kama alikua hanitanii namsamehe.

Hilo sio kosa la mimi kumuacha mwanamke.

Mimi mwanamke hata akinikosa kunipiga risasi na nikapona au akanipiga risaai kwa kudhamiria lakini nikanusurika kifo namsamehe.

Ila akichepuka siwezi kumsamehe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom