Natafuta Mume

Newesty ID

Member
Aug 17, 2018
17
55
Habari za humu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo

Umri 27-34
Elimu si kigenzo cha mume bora
Pesa inatafutwa
Dini muhimu kuwa mkristo safi
Kingezo kikubwa na cha Muhimu Mcha Mungu na Mwenye upendo wa kweli.

Note:Usiwe umeacha mke au umezalisha mtu .
Sitaki kuumiza mwanamke mwenzangu kama vile ambavyo na mimi sipendi kuumizwa.

Mimi
Age yangu:25-28
Elimu:Chuo
Kazi:ninayo
Dini:miristo
 
Hongera kwa kujilipua humu utapata lakini kuwa makini ktk upembuzi.
Nb
Sikupangii lakini unaweza fanya hivi; nenda pale unapoabudu ongea na kiingozi wako juu ya azma yako ya kutaka kuolewa kuwa akuweke ktk maombi. Hili litamfanya akukumbuke siyo ktk sala tuu bali hata inapotokea mtu anataka kuoa anakukumbuka
Kipindi tupo chuo hii mbinu ilitumika sana na watu wengi walio na kuolewa
 
Sijui nijitupe na mm kuangalia bahati, maake vigezo vyote vilivyotajwa ninavyo.
 
Habari za humu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo

Umri 27-34
Elimu si kigenzo cha mume bora
Pesa inatafutwa
Dini muhimu kuwa mkristo safi
Kingezo kikubwa na cha Muhimu Mcha Mungu na Mwenye upendo wa kweli.

Note:Usiwe umeacha mke au umezalisha mtu .
Sitaki kuumiza mwanamke mwenzangu kama vile ambavyo na mimi sipendi kuumizwa.

Mimi
Age yangu:25-28
Elimu:Chuo
Kazi:ninayo
Dini:miristo
Ni PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom