Malezi: Mtoto akivuruga au kuvunja vitu usikimbilie kumuadhibu...

Uzi mwafaka huu, please come with this sort of threads every week
 
Watoto huiga matendo wanayoyaona, iwe kwenye familia, jamii au TV. Ni hiyo ndio namna yao ya kujifunza. Kama anamuona mama anaweka vitu kwenye friji, na yeye atataka aweke vitu vyake huko.
Sio vibaya kumchapa kidogo, lkn uangalie namna nzuri ya kutoa hiyo adhabu isije ikamtisha kuendelea kujifunza.
Na vile vitu usivyopenda mtoto afanye, hakikisha havioni!!
 
Me mpaka leo sina tv wala smart phone,binti kaachwa sebuleni anafurahiya katoon akapanda kameza ka tv sijui alitaka kuingia?? Tv ikashuka nzimaaa na simu vyote chali,jioni nimefika nazima gari tu haka hapa nimekabeba kuingia ndani woote wamenuna kuuliza nikaoneshwa majanga,nime zila sinunui mpaka mwaka uishe dadeq
 
Back
Top Bottom