hahaaaNdo shukrani yake kwako,kula tuuh matunda mema ya nchi ila siku ya hesabu usije sema ulirubuniwa.
Maana Adam naye aliambiwa hvyo hvyo kumbe nyoka alikuwa kampiga Bao mkewe kitambo.
Kwel kabsa aiseewanawake hawanaga'' kitu kingine cha ku offer zaidi ya mwele wao"... so wewe nenda kamtafune tu
nmecheka sanaaa leo japo post ywa mwaka 2011Wakuu ni kamanzi kangu ka mechi za kirafiki kwenye mahusiano huwa tuko open hatuna wivu,sasa toka nimtie mtaji wa kagrocery anasema atanipa bata kama zawadi .
Mbona natetemeka kwenda isijekuwa vya gomorah