Mwanaume ndio kichwa cha nyumba, wewe unamgeuza mwanaume kuwa pet wako, kama paka au mbwa.
Eti unajitolea kumtunza, kumlisha na kumvisha, hivi wewe dada ni nani hadi unaenda kinyume na agizo la...
Hili wala halina ubishi kwamba asilimia kubwa wale wanawake ambao kimtazamo huonekana labda mapepe,wazungumzaji sana,ndio hao wanaodumu kimahusiano,lakini wale wanaokuwa wapole sana,walioshika...
Mimi niko ndoani mwaka wa 7 sasa na katika kipindi chote hicho tumejaaliwa watoto 2 wa kike na kiume, mke ni mwajiriwa na mimi ni mfanya biashara. Tunaishi kwa amani na upendo na kwa tumefanikiwa...
Bibi yako mwenye umri wa miaka 95 anatakiwa kufanyiwa surgery ambayo itagharimu karibia milion 15 Na wewe benki una takribani milion 16 ambazo umeanza kuziweka tangu 2010 je utalipa..?
Funguka
SIMULIZI
MAPENZI YA DHATI
SEHEMU YA KWANZA
"Reshmail Manyama want to be your friend.'confirm' 'ignore' ulikuwa ni ujumbe ambao macho yangu yalikutana nao nilipofungua mtandao wa...
Kila uzi utakao ufungua lazima utakutana na msimuliaji akisema kua "leo wife nimemuachia gari" "nyumba yangu nitamuchia wife na watoto" mara "sijui leo nilimpa lift mchepuko mpaka kwangu Mbezi...
Jamii ya watanzania imekumbwa na janga kubwa la kusikitisha. Utamaduni wa kuendekeza ngono na kufanya umalaya wa kila aina kati ya wanandoa na walio kwenye mahusiano umeshamiri, unazidi kukua kila...
Greetings!
Ninaishi kwenye familia yenye wazazi wote wawili, watoto wanne, mimi nikiwa mtoto wa kwanza na ndiye wa kiume pekee. Namshukuru Mungu, kwa sasa mimi najitegemea. Changamoto kubwa ipo...
Aisee ilee siku napokea msg toka kwa shemeji yenu tuachane baada ya kusumbuana kwa muda mrefu sana nilionaa kama gizaa hivii afuu nikataka kudondokaa ikabdi nikaee kitandanii kwanzaa yale maumivu...
Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa,
Mida ya saa mbili usiku naanda chakula mala simu inaita...naenda kupokea...
Hakika naamini sio mimi pekee niliyebarikiwa na post zako pamoja na michango yako humu.Umekua sehemu ya kweli ya baraka na maana halisi ya urafiki bila hata kujuana, msaada wako wa kimawazo kwangu...
Katika maisha ya mwanadamu kuna Kutafuta Riziki ambayo Mungu ndio hutoa lakini sometimes wanadamu wenyewe huwa tunafanyaana Fitina za wazii kabisa na kuzibiana ili watu wengine wasipate Nafasi...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mtafiti mmoja huko Marekani amekuja na UTAFITI ambao kwa mujibu wake ni 99.999% kweli tupu na hata mimi katika kuangalia angalia nami nimeugundua kuwa ni kweli...
Habari wanajamvi.
Miaka ya nyuma nilijipaga matumaini kuwa watu wanaomwabudu MUNGU ni safi kumbe wapi kenge nao wamo.
Sisemi kwamba ni wote ila wachache watoe/exception.
Sijui ni utoto au akili...