Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Inaweza ikawa ni ajali kazini... Lakini ni wangapi wajuawo yajayo? Hapa ndio Mungu kawafumba wengi... Mwisho wa ufahamu wetu ni leo.... Mengine yote ni majaliwa Diamond (Nasibu/Naseeb) kutoka...
23 Reactions
88 Replies
8K Views
Good morning my fellow Jf members My real name is Linda am 28 years old. Am looking for a serious lovely man to spend the rest of my life with. The man am looking for should be aged from 38...
4 Reactions
68 Replies
7K Views
Kama mjuavyo hivi karibuni tumbua tumbua ya uncle Magu ilitua kwa watumishi walioghushi vyeti mbalimbali. Sasa kuna rafiki yangu mmoja (family friend), huyu dada alikuwa rafiki sana na mke wangu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama ambavyo kipindi cha kampeni wanasiasa wanakuwa na upuuzi/ mbwembwe nyingi mfano, kujidai wanapiga story kwenye vijiwe kadhaa, kupiga push up majukwaani, kula kwa mamantilie, kununua vitu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
1st year nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani...
1 Reactions
2 Replies
57K Views
jamani kama kichwa kunavyojieleza hapo, tupeane mbinu za kumtongoza mwanamke ulio vutiwa nae kwa kumuona mara ya kwanza , nigia hipi ya kumuingia na kisha kumuka sawa hadi akakukubalia
0 Reactions
52 Replies
25K Views
Wadau leo naomba tujadili mambo ya mahaba, kiukweli leo mimi nataka tuwekane sawa. Kwanini wanaume sikuiz hawajui kutongoza? Unalikuta limwanaume domo zito hata haliwezi kujieleza, yaani nyinyi...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Leo katika harakati za maisha nilipitia maeneo flani Kinondonu kupata msosi, akaingia jamaa mmoja tukakaa wote na yeye akawa anakula, baada ya msosi nikawa nimeagiza juice wakati imeletwa jamaa...
5 Reactions
49 Replies
8K Views
Nina miaka 28.Naishi dar es salaam. Nimeajiriwa miaka miwili imepita. Sina mtoto ,naishi peke yangu. Awe dar es salaam na awe tayari kucheki afya. Akiwa mwanachuo pia itapendeza Aje pm .
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Jamni kuna rafiki yangu alikuwa ana mpenzi wake wote walipendana sana lakini kadr mdaulivyoenda mapenzi ya kapungua hadi mwsho wakaachana kwa maneno na vijembe zaidi ni mwanamke ndo aliye kuwa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Leo baada ya kufika kazini nilitoka kwenda kupata supu ili kupunguza hangover maana jana nilipiga sana vyupa. Nikiwa mgahawani nikamuona dada mmoja niliewai tembea nae miaka kadhaa iliopita...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Ongereni sana kwa Wote watakao tumia Style hii ndani ya Usiku huu.
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa sasa kuvunjika ndoa ni kitu cha kawaida Kuna watu wanafikilia kuwa saivi watu hawapendani ndiyo maana ndoa zinavunjika wengine wanasema hakuna maadili Lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha...
7 Reactions
44 Replies
11K Views
Mimi ni mhitimu wa chuo na kwa sasa najitolea shirika la serikali kupata experience na silipwi mishahara hivyo bado nmejishikiza kwa wazazi Hapa nyumbani ndani ya fensi kuna nyumba kubwa na kwa...
1 Reactions
138 Replies
12K Views
Hapa chini ni aina za wanaume ambazo unatakiwa kuzifahamu; Mwanaume wa kwanza atakwambia anakupenda kwa sababu anataka kulala na wewe na kisha kwenda kwa mwingine lakini kuna mwanaume...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauliza hivi maana kuna wanawake walikuwa wanaongea eti wao wanajichubua ili wapendwe na wanaume. Je, kuna ukweli wowote hapa?
0 Reactions
375 Replies
52K Views
mwanamke anaependa kulipiza kisa , kupenda kukomoana, na kutumie uke wake kama silaha au nyenzo, ushahidi 1 huyu dada...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hellow, Najihisi mpweke sana kipindi hichi cha mvua maana tangu tumeachana na mwenzangu ni takribani miezi sita sijapata wa kumuamini. Natamani ningekuwa na mtoto kipindi hichi na mimi...
17 Reactions
504 Replies
34K Views
Wakuu, Majuzi nilipost kuhusu kufuatilia chimbuko la Baba yangu huko Kigoma, wengi mkashauri ni bora nijenge tu maisha ya yangu/nitafute hela, mwenye shida na mimi atanitafuta mbele ya...
3 Reactions
85 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…