beevenom JF-Expert Member Joined May 1, 2017 Posts 313 Reaction score 433 Nov 3, 2018 #1 Vifo vingi vya wanaume husababishwa na wanawake directly or indirectly
Barieda JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 1,811 Reaction score 2,483 Nov 3, 2018 #2 Ni ukweli usiopingika, hawa viumbe Mungu katuletea lakin wanatutesa sana kisaikolojia, samtymz mi huwa nasema kwann alituletea hawa watu. Isitoshe hata ugumu wa safari ya kwenda mbinguni inasababishwa na hawa viumbe.
Ni ukweli usiopingika, hawa viumbe Mungu katuletea lakin wanatutesa sana kisaikolojia, samtymz mi huwa nasema kwann alituletea hawa watu. Isitoshe hata ugumu wa safari ya kwenda mbinguni inasababishwa na hawa viumbe.