Dhambi ya usaliti inanitafuna

Dhambi ya usaliti inanitafuna

Lakunle

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
637
Reaction score
590
Heshima yenu wanajamvi!
Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia kuu,nikajishusha saana kwa wife akakubali kunisamehe sikupenda tuachane kwasababu alikuwa na mtoto mdogo wa miezi kadhaa.

Tatizo ni miaka mitatu sasa mwanamke bado analiongea as if limetokea jana kila siku tunagombana kosa nlilofanya 3yrs back. nimechoka kujishusha kwa wazoefu tafadhali naombeni njia mbadala ya kuepuka kutukanwa

Nawasilisha
 
Imagine wewe umesalitiwa na ma watoto wako ? itakuwa rahisi kusahau usaliti unauma wewe, na hivyo vitu huwa havipotei haraka harska kwenye maisha.

Jitahiji kumpenda zaid kuliko mwanzo.. mjali sana. Ila kusahau hato sahau.
Heshima yenu wanajamvi!
Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia kuu,nikajishusha saana kwa yf akakubali kunisamehe sikupenda tuachane coz alikuwa na mtoto mdogo Wa miezi kadhaa.

Tatizo ni miaka mitatu sasa mwanamke bado analiongea as if limetokea jana kila siku tunagombana kosa nlilofanya 3yrs back. Nmechoka kujishusha. Kwa wazoefu tafadhali naombeni njia mbadala ya kuepuka kutukanwa.Nawasilisha
 
Umetongoza, umefanya nje mpaka kuzaa (with all family planning methods? u cant even pull out?) dude inauma maumivu yake ni balaa ukifanya kosa unatonesha kidonda.
Vumilia tu maana kukubali kuendelea kuishi na wewe kaonesha ukomavu wa hali ya juu.
 
Alikoroga mwenyewe.. alibebe tu. Hamna namna
Umetongoza, umefanya nje mpaka kuzaa (with all family planning methods? u cant even pull out?) dude inauma maumivu yake ni balaa ukifanya kosa unatonesha kidonda.
Vumilia tu maana kukubali kuendelea kuishi na wewe kaonesha ukomavu wa hali ya juu.
 
Na wanawake tunaongea sana tena sana na hyo ndo itakua point ya kukukandamiza anyway pole
 
Heshima yenu wanajamvi!
Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia kuu,nikajishusha saana kwa yf akakubali kunisamehe sikupenda tuachane coz alikuwa na mtoto mdogo Wa miezi kadhaa.

Tatizo ni miaka mitatu sasa mwanamke bado analiongea as if limetokea jana kila siku tunagombana kosa nlilofanya 3yrs back. Nmechoka kujishusha. Kwa wazoefu tafadhali naombeni njia mbadala ya kuepuka kutukanwa.Nawasilisha

Hutakiwi kuchoka, vumilia, hiyo ndiyo gharama ya dhambi!,,,,,,,..... atakuwa sawa siku moja
 
Dhambi ya USALITI uliyomfanyia mwenzio hawezi sahau maisha yake yote mpaka anaingia kaburini
 
Ndugu kuna usaliti mwingine ni ngumu kusahau. Haswa kama mke alimpenda mchiz kutoka moyoni halaf akatendewa hilo.. ni so painful na inachukua miaka kusahaulika
Kusahau ni ngumu sana, na kama umempenda mtu kwa moyo wote na uaminifu halafu anachepuka na kuzaa kabisa mtoto inauma sana yeye avumilie tu matusi hakuna namna
 
Back
Top Bottom