Tamati
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,085
- 1,956
Utandawazi bana!!
Eti siku hizi ni mwendo bed za 6x6, lakini ukikwaruzana na mwenzi wako utakiona cha mtema kuni usiku kucha
Yaani wakati wa kulala kila mmoja anajipanza kwenye angle yoyote ya bed kasha kachukia alichofanyiwa na mwenzi wake, wengine wanalala kwa kupishanisha vichwa kabisa(anaelekea kule na mwingine kule)
Zamani kulikuwa na vitanda vyembamba kiasi kwamba mkilala na mwenzi wako lazima mgusane kwa vyovyote vile
Hata mkikusoena ila wakati wa kulala lazima mgusane jambo ambalo litamfanya kila mmoja kusahau jinsi alivyochukizwa na mwenzio na kiujikuta wanarekebishana hapo hapo na kuelewana
Joto la kugusana kwa wanandoa ni tamu na raha sana jamani
Mafundi wa vitanda mungu anawaona mjue