jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 625
Almost vitu vyote ndani ya nyumba unaweza fanya mwenyewe kama kupika, kufanya isafi nyumbani kwako, kuhudumia mifugo, shambani, ndugu jamii na marafiki zako so unapooa unaongeza faida gani kwenye nyumba yako?
Kama ishu ni mwanamke basi unaweza nunua huko utimize haja zako!
Kama ni watoto unaweza tafuta mwanamke uongee nae akuzalie watoto awaangalie mpaka kipindi wanaweza kutembea na kuongea ndipo uwachukue. Halafu utatafuta lmwanamke special akuangalizie wanao mpaka waanze kujitegemea au uwapleke watoto kwa ndugu zako wakianza kujitegemea unawachukua.
Hii procedure imekua ikitumia nchi za ulaya sasa mimi nataka kuiintroduce rasmi bongo. So nitakuwa nimejitosheleza kimaisha hata nikiwa mzee najua wanangu watanihudumia.
Pia kwa wasiotaka watoto wanaweza kuchukua watoto kwenye vituo vya watoto yatima wawasomeshe kama watapendezwa watakuja kutos shukrani uzeeni wako.
So mimi sioni faida ya kuoa. Waswahili wanasema Kama nyama inapatikana buchani yanini kufuga ng'ombe? Au kama maziwa yanapatikana dukani yanini kumfuga ng'ombe?
So ukiwa single uta stay healthy zile kero za ndoa hutaziona na faida za ndoa utazipata on the market as I know unanunua monde basi unatimiza haja zako kwani ishu si mwanamke bwana? Sasa yanini kummliki wakati waweza mmnunua kwa siki au masaa kadhaa?
I think it's better for us men to focus on productive things. Pengine muweke hasara za kutokuoa ambazo mimi personally sizioni kwenye maisha ya mwanaume hadi uzeeni.
ONYO
Kuzaa nje ya ndoa ni dhambi! MUNGU hapendi uzinzi au uasherati pia watoto wanaozaliwa nje ya ndoa huteseka sana kwa dhambi na hawapati Baraka zote za MUNGU soma ishu ya Ishamel na mtoto wa mfalme Daudi aliezawa na Uria.
Soma hapa Zaidi Onyo kwa sisi ambao tumeamua kuzaa nje na kuwa mabachelor maisha yetu yote. - JamiiForums