Semina na vikao ni sehemu ya kipekee ya wachepukaji.

Semina na vikao ni sehemu ya kipekee ya wachepukaji.

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Sio mwanamke au mwanaume kama ni mchepukaji basi semina na vikao vya wiki moja au mwezi na zaidi ni burudani kwao.
Hii ni upenyo au njia ya wao kuvinjari, Mwanamke au mwanaume anakaa nje ya familia/mke wake kwa wiki, mwezi mmoja na zaidi halafu ni anapokaa ni hotelini ndugu yangu wategemea nini?
Sio hotelini tuu bali popote pale alipo ni hatari.
Mume/Mke hujamuona mwandani wako muda wote huo wategemea nini?
Kuna fanyika mengi huko ndugu zangu muwe makini.


NB: Mshahara wa dhambi ni mauti, raha ya siku moja, wiki au miezi kadhaa inaweza kukusambatatisha na mume wako na familia au kukuingiza kabirini kwani ukimwi upo pia kufumaniwa kupo na MUNGU kwani hapendi uzinifu haswaa kwa mke wa mtu mshahara wake ni kifo pia mkeo atafanywa hivyo hivyo kwani malipo ni hapa hapa duniani.
Hata wewe mwanamke unaechepuka na mume wa mtu nawe utafanyiwa hivyo hivyo na mume wako kwa wake za watu... That's karma.
Methali 6:26-29.
 
Back
Top Bottom