Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mkonjemaaa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nimekuja mbele zenu naombeni ushauri, Mimi ninamke tumedumu kwenye ndoa miaka minne mpaka sasa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto wala hata ujauzito kuharibika japo nje ya...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Kuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na...
10 Reactions
172 Replies
15K Views
Wakuu habar za leo kuna msemo na mitazamo ktk jamii huku kitaani hadi unawza kushindwa kuamini kama ni kweli au ni uongo hivi kuna ukweli wowote juu ya jambo hili eti mwanamke au mshichana unae...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi karibuni nimepigwa mzinga wa laki mbili na mpenzi wangu. Ila kila nikipiga hesabu zangu naona haziruhusu na yeye kakomaa anadai namyima. Kila nikimwambia uwezo wa kutoa laki mbili kwa sasa...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Mzuqa wanajamvi! Ebana kuna huyu shori nilimpata kwenye dating site baada ya muda tukabadilishana namba tukawa tuna correspond kwenye whatsapp na viber. Ni muajemi anaishi Tehran Iran. Huwa...
8 Reactions
103 Replies
12K Views
Habari wanajukwaa Natafuta mwanamke wa kumuoa Umri wangu ni miaka 30(Hìi ni serious jamani)...kwa alie tayari kwa chochote anachotaka kufaham kutoka kwangu...waweza nitumia text (DM)
0 Reactions
12 Replies
1K Views
" Kumnunia mwenzio bila sababu ni umama na uanaume wa dar". Na ijulikane makosa yake anayajua vizuri mpaka nimeamua kumpa Ban .
4 Reactions
46 Replies
6K Views
1. Nauli ya kurudi kwako. Hizo wanawake hawatoagi wazee 2. Hela ya Umeme Na bill za ghafla ghafla Unit huwa zinabaki chache ghafla mkiwasili so lazima muokoe jahazi 3.toothpick Kutolea mavuzi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wana MMU Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mke wangu hajui kupika na nikimkosoa ni mbishi. Kwa kawaida nikiwa kazini kuna Mama Ntilie anapika mpaka...
2 Reactions
97 Replies
14K Views
HI WANA MMU Hot Talk! Mtazamo wako juu ya suala zima la ndoa na changamoto zake Kutokana na mafanikio makubwa yaliyopatikana wiki iliopita ambapo mgeni mualikwa, mie host, na wachangiaji...
7 Reactions
1K Replies
91K Views
Nina upweke fulani ivi,mwanaume wa mkoani,nitakuwa dsm kwa siku tatu.nimefikia hotel fulani karibu na ubungo. Demu aliyeko tayari kuniliwaza aje DM.sitoi zaidi ya hamsini per night. Situmii amber...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Nipo zangu mkoani Tanga hapa kikazi, na ni wiki ya pili. Katika kuzunguka zunguka nikakutana na mtoto mashallah, mtoto jojo, mtoto chura, mtoto ina mpaka machoni. Tukaanza mazoea kidogo kidogo...
28 Reactions
403 Replies
43K Views
this is for men,nini muhimu kwako zaidi unapoanza uhusiano na bibie wako mpya. does a beautiful face matter over a bangin body or is the other way around? wewe kama mwanaume utachagua nini...
0 Reactions
63 Replies
12K Views
sehemu ya 2 6. Eye contact anapenda kukuangalia machoni muda wote ambao mtakuwa mkizungumza pamoja akidhani kuwa utaelewa ni kiais gani anakupenda kupitia vile ambavyo anakuangalia. Ila wengine...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Kama mwanamke wako anakupenda kwa dhati na unampa vitu hivi na bado anachepuka ana majini.. 1. Hela ya kutosha 2. Se..x ya kutosha--Mpaka anafika mlima everest 3. Care yakutosha--Unamnunulia...
8 Reactions
115 Replies
11K Views
Kumekuwa Na wimbi kubwa sana la wanaume kutopenda kutumia kinga (condom) na mwanamke husipouliza basi yeye twende kazi. Sijui ni kwanini hichi kitu kinatokea.
4 Reactions
152 Replies
17K Views
WATAFITI duniani hivi sasa wana hoja ya kitaalamu kwamba, idadi ya watoto wanaozaliwa, imepungua duniani kote kwa kiwango kikubwa na kinyume chake wazee wanaongezeka kwa kiwango kikubwa. Kada...
0 Reactions
3 Replies
876 Views
Ni jambo muhimu sana, binafsi bila kuwa wawili mambo yangu mengi yangesimama huwa nasafiri sana wake zangu wanasimamia business pia kusimamia na malezi ya watoto yanaenda. Mfano nina kibwawa...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom