SURA Vs BODY | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SURA Vs BODY

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by utu wangu, Dec 5, 2008.

 1. u

  utu wangu Member

  #1
  Dec 5, 2008
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  this is for men,nini muhimu kwako zaidi unapoanza uhusiano na bibie wako mpya. does a beautiful face matter over a bangin body or is the other way around?

  wewe kama mwanaume utachagua nini kwanza ?
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  mnh, wikiendi ishaanza?...

  haya, mie kwanza Reception, a.k.a "mapokezi", a.k.a sura!
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Dec 5, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani character ni muhimu kuliko vyote. Binafsi nitaanza na character na mengine yatajipa yenyewe tu. Of course there has to be some physical attraction also....but character is paramount
   
 4. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nyani kumbe kuna wakati unaandikaga vitu sensible....
   
 5. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  wakati mwengine mazingira mnayokutana yanaweza kuinfluence uanzishwaji wa mahusiano.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,546
  Trophy Points: 280
  Ushauri wa bure haswa kwa vijana ambao hawajaoa. Kama unatafuta mke, kwa kuanzia chagua tuu iwe sura au umbo, uzuri wa mke ni tabia.

  Kwa ajili ya starehe na raha zako kama unapenda sura bomba ukiipata utajiona tuu ka unafaidi na mengine yote kwa sababu moyo wako ushapenda hiyo sura uliyoipenda.

  Wapenda body ni wwatu wa shughuli, akiipata bodi anayoipenda atajiona anafaaidi kwa vile moyo hicho ndicho upendacho.

  Kwa uzoefu wangu ambao una long expirience ya uzowefu wa muda mrefu,ukifanikiwwa kupata kimojaa, kingine kinapungua. Hivyo ni uamuzi binafsi uko radhi kucompromise nini. Kuna watu wanafuraha machoni mbele za watu. Kumbe wakifunga tuu mlango wa chumbani, ni kituo cha polisi!. Ndio maana hutashangaa kuona watu wa heshima na ndoa zao, tena wake zao bomba, lakini utawakuta wanakuja Jolly Club, Bills na Kona Bar kuhangaikia mazagazaga. Unaishia kujiuliza huyu jamaa vipi!?.

  Nikiwa kijana mdogo, nilipenda sana sura, nywele na miguu. Nikapata nikakuta idara nyingine hazijatimia. Kuna kipindi nilikula sambamba na mamiss wa mchujo kuelekea miss Tanzania, ohh.. Unapata sura bomba na vifiga vikali vikali mbele ya watu unatamba na kusifiwa, tatizo ni hukoo.. Hakuna kitu.

  Nilipojikuta nimedondokea mahali hakuna sura, hakuna figure, hakuna nywele wala mguu ila ni asali!. 'penye asali ndio penye ulimbo', nilinasa na nilifanya uamuzi wa kuchukua jumla japo baadae uamuzi huo ulinitokea puani... nimekuja kuishia uamuzi wa busara kuwa 'kama ni mke, tafuta tabia na hayo mengine yote yatajiseti'.
   
 7. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  First impression always ni sura na umbo pamoja then tabia tusiwe wanafiki.

  Nitauonyesha unafiki wa baadhi yetu.

  Ikiwa mwanamke aonekana kichwa tu, je maanjamu na uzuri unakamilika na kukata shauri kuwa huyu mwanamke ni mzuri? Je ikiwa mwanamke aonekana body tu bila sura je, yatosha kuwasha hisia? Let not be crazy! Tusile ugali kwa picha ya samaki tukubali fikira sahihi. Ingawa mind huchagua nini cha kutizama na kukitambua sura kwa maan ya usoni na body vyote akili huvitazama na kuvipa mchanganuo just this is a matter of milliseconds and then ina-authorise au ku-decline. This is true empty!
   
 8. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #8
  Dec 7, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mfano.....

  [​IMG]

  [​IMG]
   
  Last edited: Dec 7, 2008
 9. BrownEye

  BrownEye Member

  #9
  Dec 8, 2008
  Joined: Jul 31, 2007
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mifano mingine bwana :confused:
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Dec 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Ulichokizungumzia wewe ni lust and not love. Love is something that grows. She (my woman) may not be a drop dead gorgeous woman, but her character, the way she carries herself, the way she treats you and others, etc. will make me fall in love with her.

  Ngoja nikupe mfano, angalia Michelle Obama. She is definitely not a Halle Berry but Barack decided to wife her, why, probably because of what I just described above.

  I want someone who will be there for and with me through it all. Therefore, lust leads you to think of physical stuff (the tiddays, behind, face, and all that) but love is deeper than that.
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
 12. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Tuwe wakweli wandugu,
  Ni lazima uwe attracted kwa sura na body kwanza- then tabia! Sasa dem ana sura mbaya kama Dr. Remmy na miguu ni ya kushoto na miembaba kama Kuku... kweli hapa ndo utakufa kwa mapenzi?

  Basi nina jamaa yangu alichukua tu dem.. yaani siku hizi mke hatoki ndani.. na akitoka nae.. akiona mtu anamfaham basi jamaa jamaa wala hadhubutu kumtambulisha kuwa ni something yake!

  Chukueni vitu vikali wezee-- both sura na body.. hata akipita njiani ..angalau wamtamani!
   
 13. m

  mbele New Member

  #13
  Dec 8, 2008
  Joined: Dec 5, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata kwangu eti wanashangaa mimi kuoa mwanamke asiye msomi wakati mimi nategemea kupata shahada ya kwanza. Mimi sio wa sura wala elimu, mambo yapo ndani.
   
 14. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  mnaosema mambo yote ni sura na body jee wale wanaoitwa "sura mbaya" au wana "miguu yote ya kushoto" hawana wenzi? tena wengine wanawenzi ambao hao wenye sura bomba wanawaota tuu kila siku lakini hawapati kitu.
   
 15. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  haya .... yangu macho na masikio
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Dec 9, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...shishi, jibu lako limeninyong'onyesha! :(

  ...nawe pia shishi.
   
 17. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #17
  Dec 9, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Sura v/s Body!
  Napenda kujua kwanza ina maana ni sura na body za wanawake/wasichana tu au pia inahusu wanaume?
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Dec 9, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kaka, muanzisha mada aliuliza hivi;

   
 19. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #19
  Dec 9, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukijichungulia moyoni, hili swali linajibiwa na weye... 'Nini kilimvutia bibi kwako?

  Mimi napenda mrembo (espesheli, macho na tabasamu/lips) na mwenye mwili wa shepu nzuri. Kwa hiyo napenda both. Pia awe ana ubongo mzuri, na anaependa kucheka na kuchekeshwa.... tabia ni ya muhimu pia.

   
 20. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0

  This is against your previous Michelle Obama's Comments. Hongera Nyani kweli siku hizi post zako ziko juu sana, yaani nyani umekuwa na busara sana sijui kwa nini, au umeoa hivi karibuni nini?.
   
Loading...