Kijana Mzeeeh
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 295
- 324
Hivi karibuni nimepigwa mzinga wa laki mbili na mpenzi wangu. Ila kila nikipiga hesabu zangu naona haziruhusu na yeye kakomaa anadai namyima. Kila nikimwambia uwezo wa kutoa laki mbili kwa sasa sina haelewi.
Gemu kagoma kutoa zaidi ya mwezi sasa. Leo mzee mzima uzalendo ukanishinda nikaingia mbugani nikakamata mtoto mmoja matata nikamwaga bao zangu mbili nzito za maana kwa buku kumi tu.
Sasa napendekeza kuwa hawa Dada zetu wa barabarani waboreshewe mazingira na wasibuguziwe na vyombo vya usalama kwani msaada wao ni mkubwa sana.
Hawa kina-dada tunaowaita wapenzi wetu wanaomba pesa kama vile wanatudai.
Ni hayo tu.