Kwanini wanaume wengi hawapendi kutumia Kinga?

Kumekuwa Na wimbi kubwa sana la wanaume kutopenda kutumia kinga (condom) na mwanamke husipouliza basi yeye twende kazi. Sijui ni kwanini hichi kitu kinatokea.

Unaweza kula " Chocolate " hivyo hivyo na kuupata ule " Utamu " wake " murua " ikiwa imepekiwa?
 
Uwo utafiti wa wapi mamy umeufanya?dunia ya shv ilivyojaa magonjwa mengi ni nani anayekubali kwenda na mwenzake dry?labda km ni mpnz wako wa siku nyingi mnaaminian hapo sawa,ila tu mtu ukutane nae frm n whr mzoean siku mbili tatu na yy akubari kwenda dry mmh ukikutan na mtu km huyo mwekee umakin kidogo,lbd hana uwakika na afya yake,au kasha kata tamaa,au hajapata elimu ya kujali afya yake
 
Na kwanini ukutane na mtu from no where?
 
Hapana, wanaume mna shida sana kwenye hilo swala. Unajua pale unapomchezea anapoteza kabsa mawazo ssa kwnn ww kama unakumbuka husivae.???
Kwahiyo hao wanaume hawapotezi mawazo?. Kama hujijali hakuna atakaekujali.
 
Sehemu ya chini ikishatawa akili ni vigumu kuona umuhimu Wa kinga.
 
Si wote inategemeana na mtu ila ukikutana na mtu wa ivyo lazima uweke kiulizo
 
Hapana, wanaume mna shida sana kwenye hilo swala. Unajua pale unapomchezea anapoteza kabsa mawazo ssa kwnn ww kama unakumbuka husivae.???
Sio kweli, wanawake ndio hampendi kuvaliwa salama, mwanaume akivaa unasema hakupedi.
 
Utraam unanaisha, na utakulaje pipi kwenye ganda lake japo utamu wa pipi mate yako?
 
Kumekuwa Na wimbi kubwa sana la wanaume kutopenda kutumia kinga (condom) na mwanamke husipouliza basi yeye twende kazi. Sijui ni kwanini hichi kitu kinatokea.

Asante kwa kujali Afya yako na Mwenza wako
1. Kwa kuwa siku hizi kuna Condom za Kike na za Kiume ni busara wewe uwe una vaa in advance b4 show.
2. Ukimwambiea Janamume vaa Condom akakataa na wewe ukakubali kuliwa bila gloves basi utilie shaka ubongo wako.
3. Ukitaka utamu zaidi tafuta mmoja funga ndoa, pima, ishi kwa uaminifu then kula kitu dry ni taaaamu saaaana
 
kwa hiyo avatar unadhani hata mimi nitatumia kinga?
kwani nyinyi hamna kinga za kike?
 
Kwanini wewe haupendi kula Pipi na Ganda lake??
 
Hapana, wanaume mna shida sana kwenye hilo swala. Unajua pale unapomchezea anapoteza kabsa mawazo ssa kwnn ww kama unakumbuka husivae.???
kwanini upoteze mawazo?,
inatakiwa uwe carefull mda wote
 
Back
Top Bottom