Natafuta mke wa kumuoa

chibi

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
240
65
Habari wanajukwaa
Natafuta mwanamke wa kumuoa
Umri wangu ni miaka 30(Hìi ni serious jamani)...kwa alie tayari kwa chochote anachotaka kufaham kutoka kwangu...waweza nitumia text (DM)
 
Ukisha mpata, Naomba umpitishe kwangu Quality assurance officer Kabla ya kumuingiza kwenye matumizi
 
Habari wanajukwaa
Natafuta mwanamke wa kumuoa
Umri wangu ni miaka 30(Hìi ni serious jamani)...kwa alie tayari kwa chochote anachotaka kufaham kutoka kwangu...waweza nitumia text (DM)
Mbona unajiam na serious
Kuna nyuz ulileta za utan eenh!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom