Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna kamsemo tunakasemaga kwamba tutaona mengi mwaka huu.sasa mwaka huu kweli tumeyaona.
Neno WANAUME WA DAR vs wa mikoani
Ukiwa wa dar ni shida haha..aya uzuri...
MSAADA WAKUU , Kuna mwanamke nili date nae kwa mda mfupi lakini tukashindwana . Sababu ya kuachana ni alikuwa mwanamke mwenye tamaa sana na asiyeridhika na mimi sikuona sababu yoyote kuendelea na...
Habari wakuu, wakubwa shikamoni wadogo zangu hamjambo?
Nilishangaa na hadi machozi yalinitoka ,
Jana tulikuwa na rafiki yangu wa Siku nyingi ,tulikuwa tunatoka mbagala kwa mishe zetu,mida ya saa...
*Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...!*
1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda NaWakipenda Hupenda Kweli.
4.Wanaoga...
Wakuu za muda mimi na mke wangu wote ni watumishi wa umma suala linalonikera ni kitendo cha shemeji yenu kwenda kwao kila mwaka likizo ya Siku 28 hivi mnalionaje hili wakuu binafsi nakereka sana...
wengi wamekuwa wanashindwa kujuwaMapenzi nini nakuzani Mapenzi ni ya mke tu lah hasha waweza ita mama yako Mama Mpenzi Mapenzi ni hisia lakini tukumbuke Mungu ndio mwanzilishi wa Upendo na...
Usika na mada apo juu natafuta mpenzi jinsia ya kike umri kuanzia miaka 18 adi 25 kuusu dini sichaguwi pia sura sichaguwi ili mradiawe na upendo wa kweli pia awe anapatikana arusha au mikowa ya...
Habarini wadau, mwaka jana nilikutana na mtoto mmoja mzuri maeneo flan ya katika ya jiji ilikua lunch time kwa mara ya kwanza namuona, ikawa tunakutana hapo mara kwa mara wakati wa chakula cha...
Kwanini wanaume wengi wa leo mnawakosea heshima wake zenu kwa kutembea na msaidizi wa ndani kwanini mnapokamatwa hamuombi msamaha ili yaishe?
Mnajua samahani ina nguvu kubwa sana katoka...
Mara nyingi Gari za Sement zikianguka watu hukimbilia kusomba mifuko ya sement kabla hata ya kuokoa majeruhi... hivyo hivyo Gari la Bia likianguka wanasomba kreti za Bia hata kama dereva amebanwa...
Wakuu
Nimejitokeza kwenu wataalamu wa haya mambo ili niweze achana na huyu mwanamke wa mwanajeshi kwa amani na usalama wangu
Ni kweli nimeshamgegeda na hapo awali sikujua kama ni mke wa...
Najua hata nikilia, machozi yaijaze dunia, hauwezi kunirudia nikama toba hii barua nimekuandikia, ili mauti itaponitenga na dunia siku yangu ikiwadia, uko niendako niweze kuiona njia Dunia njia...
Jamani nimepita humu somewhere nimekuta a guy analalamika he has a very shy type of girl.....now guys wenye hiyo type of girl be patient with them Mimi ni hiyo type ya girl Kama sujakuzoea ila...
Wakuu Salaam.
Mimi sio mjuzi sana wa ku post humu ndani mara zote ni mtu wa kusoma tu topics mbali mbali, lakini leo mpaka nimeamua kuandika yamemifika shingoni ndomana naomba ushauri wenu.
Mke...
Just naomben ushauri plz..!ni jambo serious
Ni girl ambaye tuliachana almost miezi 8 ilopita....alianza kiburi....na pia vituko vya hapa na pale so nkaamua kubreak up nae
Lakini chanzo kkubwa...
Hii ishawahi nitokea siku moja nilipokutana na mpenzi wangu ambae baada ya kuingia nae mahusiano ilinichukua kama miezi mitatu mpaka kula tunda kutokana na umbali tuliokuepo kati ya mimi na yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.