Mwanamke mwenye aibu

Mwanamke mwenye aibu

nadiegirlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
568
Reaction score
842
Jamani nimepita humu somewhere nimekuta a guy analalamika he has a very shy type of girl.....now guys wenye hiyo type of girl be patient with them Mimi ni hiyo type ya girl Kama sujakuzoea ila nikikuzoea basi people always say to my friends why is she so shy..... So quite and their answers is always SHE IS NOT jaman mungu katuumba tofauti wengine tuna aibu na wakimya kwa watu ambao hatujawazoea Sana hiyo siyo sababu ya kuachana na mpenzi wako
 
Kwa hiyo kakuacha?
 
Ngoja nije pm nijihakikishie kama kweli una aibu ila ukinisumbua ukanikataa ntajua we muongo huna aibu umepata wapi ujasiri huo
 
Jamani nimepita humu somewhere nimekuta a guy analalamika he has a very shy type of girl.....now guys wenye hiyo type of girl be patient with them Mimi ni hiyo type ya girl Kama sujakuzoea ila nikikuzoea basi people always say to my friends why is she so shy..... So quite and their answers is always SHE IS NOT jaman mungu katuumba tofauti wengine tuna aibu na wakimya kwa watu ambao hatujawazoea Sana hiyo siyo sababu ya kuachana na mpenzi wako
Sawa subiri waje shy girl.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom