Mambo 10 ambayo wanawake wamewazidi wanaume

mbari

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
509
421
*Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...!*

1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume.

2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao.

3. Ni Wepesi Kupenda NaWakipenda Hupenda Kweli.

4.Wanaoga Mara Nyingi Zaidi KwaSiku.

5. Wana Huruma Sana Ingawa MaraNyingi Huwa Inawaponza.

6. Wana Uwezo Wa KubadilishaTabia Ya Mwanaume Muda Wowote.

7.Wana Uwezo Wa Kuishi NaKupendeza Bila Kuwa Na Kazi WalaBiashara Yoyote.

8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria WakitakaKutoka.

9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10. Hawapendi pesa

Samahanini Jamani. hiyo ya 10 imeniponyoka
 
Pole sana kizazi za nyoka
 
jifunze kuandika vitu vya mhimu mkuu
 
Back
Top Bottom