Ananivurugia mipango yangu

BradFord93

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
910
2,164
Just naomben ushauri plz..!ni jambo serious

Ni girl ambaye tuliachana almost miezi 8 ilopita....alianza kiburi....na pia vituko vya hapa na pale so nkaamua kubreak up nae

Lakini chanzo kkubwa cha yeye kuwa jeuri hasa n baada ya mim kutokuw na ajira plus pia malengo kutoeleweka baada ya mzee chuma kuingia madarakan

Baada ya break up nligundua kuw hela pekee ndo itanipa heshima....so nilielekeza akili na moyo wangu kutafuta hela kupitia biashara plus kazi za ziada japo kwa sasa akili nimeiweka zaidi kwenye biashara

Nashukuru Mungu alinionyesha njia kwani kwa sasa biashara inaendlea vizuri tofauti na zaman...hela nazipata...akiba naweka plus nyngne nazungushia kwenye biashara ili kkuza mtaji zaidi

Sasa tatzo huyu mtu ameanza kunitumia text za kunijulia hali...sometimes akisema amenimis...!!sijawah kumjibu kwa ukali...!!but kila nikipokea text kutoka kwake hua nakumbuka alonfanyia so kichwa knapoteza concetration n kuanza kfkiria yote alonfanyia na si malengo yangu

Mfano jana kanipigia simu akisema kuna assignment wamepewa chuo so alitaka nmsaidie mawazo...!!amenivuruga kabisa maana nilibadilisha namba but ameipata na hii mpya...!!ni kweli nilikuw nampenda saana...!!kwa nlvokuw nkimuona mpole na alonfanyia....chuki inajaa kchwan

Msaada wa mawazo ndugu zangu!!...thanks in advance
 
Unashindwa nini kumwambia ukweli?act like a man,muite uso kwa macho mkazie sura mwambie “wewe uliponiona sina kitu uliniletea dharau sasa umeona kidogo mambo yangu yananyooka unajifanya kunitafuta sasa sina muda wa kusikilizana na mwanamke asiyejua nini maana ya maisha”.atakachokujibu utajiongeza namna ya kumjibu.

Hapo utakuwa umemaliza na sijui kama utaweza maana vijana wa kileo hata mkute wanawake zenu wamekunjwa mkiombwa msamaha mnakubali huku machozi yakiwatoka kama nyie ndo mmefumaniwa.
 
Be real man and walk away so now you keep moving forward for your business but remind this # NO WOMAN NO CRY#......
 
Unashindwa nini kumwambia ukweli?act like a man,muite uso kwa macho mwambie “wewe uliponiona sina kitu uliniletea dharau sasa umeona kidogo mambo yangu yananyooka unajifanya kunitafuta sasa sina muda wa kusikilizana na mwanamke asiyejua nini maana ya maisha”.atakachokujibu utajiongeza namna ya kumjibu.

Hapo utakuwa umemaliza na sijui kama utaweza maana vijana wa kileo hata mkute wanawake zenu wamekunjwa mkiombwa msamaha mnakubali huku machozi yakiwatoka kama nyie ndo mmefumaniwa.
ha ha ha
 
Akili kumkichwa ukifata moyo utapunwa tena hyo biashara hyo.
Mwanaume achana na moyo tumia kichwa.Unampendaje mwanamke hadi ushindwe ku move on?.kwa kweli tuko tofauti
 
Man mbona rahis sana. #DROP HER DOWN.
Yeah thats it, mteme mpotezee.
ex huwa wanaarib future za wenzao ambao waliwaacha.
Hapo sasa ni kwamba hali ni tete.. huko aliko kwenda amekataliwa anarud kwako resi.

No honor among thiefs.. blacklist namba yake tupa mbali.
Just naomben ushauri plz..!ni jambo serious

Ni girl ambaye tuliachana almost miezi 8 ilopita....alianza kiburi....na pia vituko vya hapa na pale so nkaamua kubreak up nae

Lakini chanzo kkubwa cha yeye kuwa jeuri hasa n baada ya mim kutokuw na ajira plus pia malengo kutoeleweka baada ya mzee chuma kuingia madarakan

Baada ya break up nligundua kuw hela pekee ndo itanipa heshima....so nilielekeza akili na moyo wangu kutafuta hela kupitia biashara plus kazi za ziada japo kwa sasa akili nimeiweka zaidi kwenye biashara

Nashukuru Mungu alinionyesha njia kwani kwa sasa biashara inaendlea vizuri tofauti na zaman...hela nazipata...akiba naweka plus nyngne nazungushia kwenye biashara ili kkuza mtaji zaidi

Sasa tatzo huyu mtu ameanza kunitumia text za kunijulia hali...sometimes akisema amenimis...!!sijawah kumjibu kwa ukali...!!but kila nikipokea text kutoka kwake hua nakumbuka alonfanyia so kichwa knapoteza concetration n kuanza kfkiria yote alonfanyia na si malengo yangu

Mfano jana kanipigia simu akisema kuna assignment wamepewa chuo so alitaka nmsaidie mawazo...!!amenivuruga kabisa maana nilibadilisha namba but ameipata na hii mpya...!!ni kweli nilikuw nampenda saana...!!kwa nlvokuw nkimuona mpole na alonfanyia....chuki inajaa kchwan

Msaada wa mawazo ndugu zangu!!...thanks in advance
 
Mama yangu na ukiludiana naye hata iyo business jah aliyo ku bless nayo inakufa trust me nyota yako imesha shine bila ya yeye so we Cha kufanya now ni kumkomesha tu ma.ma.e zake
 
Aliowategemea au kuwapenda wameshampiga chini baada ya kumtumia vya kutosha,sasa wewe umekua spea tairi;kama unajielewa piga chini.
 
Boya sana wewe unashindwaje kumchana live wanaume wa dar bwana
Msenge sana hyu mtt kantia hasira kanakwamba ananihusu hv angekuwa mdogo wangu ningemuwasha kelbu anashindwaje kukachana tu kwamba "sitaki mazoea? usipige wala kutuma mesej tena kumchana ile kiume co hku unachekacheka then kila akikucheki na namba ngeni "hallow nani? akijibu tu "mm fulani" unakata cm unablock hpohpo hlf tuone kati ya demu kutafuta namba ngeni kila cku na yy kublock ipi kazi!
 
Tatizo ushalijua ni kipato chako...

Tatizo lake ushalijua ni uwezo wako...

Fanya mengine ya kwake muachie mwenyewe...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom