Wanaume kwanini mnapokamatwa kwa kosa la kutembea na msaidizi wa ndani hamuombi msamaha ili yaishe?

Shusha

Member
Jan 26, 2018
9
34
Kwanini wanaume wengi wa leo mnawakosea heshima wake zenu kwa kutembea na msaidizi wa ndani kwanini mnapokamatwa hamuombi msamaha ili yaishe?

Mnajua samahani ina nguvu kubwa sana katoka mahusiano mpaka nafikia hatua ya kuondoka huku kuna jamaa amenikela kweli tena jirani yangu maana amefumwa mchana kweupe na mkewe akifanya nae mapenzi msaidizi wa ndani tena ametoka kazini mapema kwa kisingizio kuwa anajisikia vibaya wakati hata mkewe hajamjulisha kama anarudi home na anajisikia vibaya.

Wote mnaotembea na wasaidizi naomba mtujuze maana nisije nikaingia kwenye ndoa nikaua mtu.
 
Raha wanazotoa mabeki tatu si za nchi hii mtuache, beki tatu wanajua kulea, jamani wanajua kupika, jamani wanajua kufua, jamani wanajua kunyenyekea unaposhiriki tendo na mtu anayekuheshimu raha sana,...

natania jamani!!!!.
ila beki tatu wana utamu wao achana na mama mwenye nyumba yeye karidhika hapo ni kwake milele
 
Mada kama hizi wanaume huwapati like kwasabau ya wanaume kufanya hivyo ni kukosa uanaume(gentleman) kukosa hofu ya Mungu kuoa mtu asiye sahihi(mostly kuoa mw anamke ambaye alimtaman hakumpenda)maudhi ya mwanamke(kunyimwa/kutokuridhishwa)

Ukosefu wa ubunifu kwa wanandoa(mwanamke Kukosa ubunifu kwa mwenzi wake)
malipizo/kisasi.

Na mimi mwaka wa kuoa! Sijui itakuaje kwasababu hata wanawake nanyi mna madhaifu yenu!
 
Ngoja niwaambie leo ukweli, tukiacha swala la wanawake kujisahau na majukumu ya ndoa, K iliyozaa na ambayo haijazaa ni vitu viwili tofauti

Kuanzia ladha, msisimko, mshindo, depth, thickness, tightness, stimulation, waterproof etc. mtadanganya kwa sababu ambazo sio, so mjitahidi kuwa karibu na kuwaridhisha waume zenu otherwise beki tatu watashughulishwa mpaka balaa
 
kwanini wanaume wengi Wa Leo mnawakosea heshima wake zenu kwa kutembea na mabeki tatu wenu? na kwanini mnapokamatwa hamuombi msamaha ili yaishe?

Mnajua samahani ina NGUVU kubwa xna katoka mahusiano.

Mpaka nafikia hatua ya kuondoka huku kuna lijamaa limenikela kweli tena Jirani yangu maana limefumwa mchana kweupe na mkewe likimla beki tatu tena limetoka kazini mapema kwa kisingizio kuwa anajisikia vibaya wakati hata mkewe hajamjulisha kama anarudi home na anajisikia vibaya.

wote mliopiga beki tatu zenu naomba mtujuze maana nisije nikaingia kwenye ndoa nikaua MTU.
mbona mnaandika kwa hasira sana.
 
Housegirl ana papuchi kama mimi ni mrembo kunizidi ana lugha tamu kunizidi anamshibisha mwanaume mpaka anakoroma ana ngozi nyororo ana upendo ana macho mazuri tabasamu mwanana ni binadamu wa kike kama mimi wewe na yule kwa kipi mwanaume asimpande

Halafu ukute maza house ana kinyume cha yote hayo hapo juu na kaumbika kama tangawizi huyo mume labda umfunge kamba ya shingo ili asimpande housegirl

Siungi mkono mahousegirl kutembea na mafaza house lakini kwa napinga mpaka pumzi yangu ya mwisho kujitia mnaona kinyaa housegirl kulala na fazahouse inanikera mno mno mno na mkome mkome mkome
 
Back
Top Bottom