freshbaraka
Member
- Mar 4, 2017
- 13
- 50
Unaniumiza. nakungoja. Ni wewe uliyeandikiwa kuwa mke wangu.
Karibu!!!
Karibu!!!
Siyo atafute kwanza hela ndiyo watakuja wenyewe ?Pole sana Baraka,nenda kwenye matamasha ya injili,wenzako ndiko wanakopatia wake
Huko tu, kanisani je?Pole sana Baraka,nenda kwenye matamasha ya injili,wenzako ndiko wanakopatia wake
Natafuta mke tutakaye-adopt watoto pamoja naye - JamiiForums
Hadi Leo wanakutesa Mkuu?
Hapana nitafute nikupangie Kazuri Kazuri Kamoja Uachane na Mzimu Unaokutesa
Siyo atafute kwanza hela ndiyo watakuja wenyewe ?
Aisee kizazi cha leo bila kuwa na vipesa mapenzi hayaendi kabisa, nawaona vijana wanavyohaha.Mapenzi yaliyojengwa kwenye misingi ya pesa hayadumu,siku ukipewa redundancy je?labda kama anatafuta mahusiano yasiyo dumu,ku hit baasi
Aisee kizazi cha leo bila kuwa na vipesa mapenzi hayaendi kabisa, nawaona vijana wanavyohaha.
Wala tatizo siyo wanawake, mabadiliko ya dunia ndiyo yametufikisha huku. Japo kwenye mapenzi kama mwanamke ni mvumilivu kuna asilimia kubwa sana kwamba yanaweza kufika mbali.Lawama mnatutupia Wanawake,kuna wanaume mnaanza nae moja,siku zikimjaa anaenda kwa mchepuko 😊,mahusiano ya sasa Mungu tunusuru
Wala tatizo siyo wanawake, mabadiliko ya dunia ndiyo yametufikisha huku. Japo kwenye mapenzi kama mwanamke ni mvumilivu kuna asilimia kubwa sana kwamba yanaweza kufika mbali.
Kumpata huyo mvumilivu ndio changamoto za vijana wengi,embu wazee toeni uzoefu wenu humu,vijana wajifunze
KabsaaaAisee kizazi cha leo bila kuwa na vipesa mapenzi hayaendi kabisa, nawaona vijana wanavyohaha.