Duuu!!!
Wanaume wa Dar bhana wananishangaza
Nipo hapa mjini tangu juzi nimetoka mkoani.
Baada ya wanaume wa Dar kuanza kula mahindi ya kuchoma kwa kuchanganya na ndimu na pilipili ya kusaga...
Mechi za hivi Huwa tamuuu mashambulizi yake yanakuwa makali ni pale, mwanamke unajikuta siku nzima umeshinda una genye ya hatariii halafu upo Kwenye ugomvi na Baba chanja.
Usiku unafika baba...
Habari za jukwaa Hili”
Nahitaji kuwa na mahusiano ya Karibu na binti/ mdada mwenyewe ndoto za kujenga familia(kuolewa) awe mtu mwenyewe malengo na maisha... umri wangu ni miaka 32yrs nipo dsm’...
Nawasalimu wote MMU
Huwa najiuliza huu utamaduni wa kuvalishana pete hapa kwetu Tanzania.
Je, mwanaume anatakiwa amvalishe pete mwanamke siku ya kuomba uchumba, au siku akishakubalika nyumbani...
Heshima kwenu wakuu, ninaishi na mwanamke ambae ni mke wangu, lakin yeye ni mvivu sana kwa kila kitu, halafu hata akikosea hataki kuambiwa, muda mwingi anautumia kuangalia season, hana ushauri...
Nahitaji mwanamke umri kuanzia miaka 30 mpaka 35 ukiwa na mtoto ni vizuri zaidi
NOTE: -Kupima HIV ni lazima
-sina vigezo
-Mimi ni fundi ujenzi
Simu: 0711451500
0743873589
Leo nilipokuwa kanisani, simu yangu iliisha chaji na kuzima hivyo baada ya kurudi nyumbani nilichaji na nilipoiwasha nikakutana na ujumbe unaosema "karibu chakula"ilikuwa mida ya saa tisa hivi kwa...
Wewe mtu tunakaa mtaa mmoja lakini hata siku moja hujawahi niita kwako unipikie japo ugali tu!
Kila siku wewe ukipiga simu unauliza weekend wapi!!
Halafu eti unauliza lini nitakupeleka kwa wazazi!
Mambo ya Digital haya, yana ambatana na mihemko kibaoooo.
BASI bwana .
Nilimeet demu mmoja mtandaoni,wa huko kilimanjaro, enzi hizo uso wa kitabu(FaceBook) imecotton fire (pamba moto), baada ya...
Habari Ndugu zangu humu?hamjambo !kipindi nipo seminary miaka ya 10 iliyopita,nimelala kitanda cha juu ,kumbe anayelala chini anavaa chupi za kike,ana mwili mkubwa,nilijua kaiba kwa mabinti,bweni...
Kwenu Jf
Asanteni kwa muda wenu mliojitokeza sana kwa ajili ya shida nilizozisema .
Napenda sana kuomba radhi kama nitawaudhi baadhi.
Niliomba mtaalam na sio uhusiano naomba mnisamehe kama...
Leo nimepata muda wa kusikiliza radio EFM kipindi cha Ubaoni, wana segment inaitwa Ripoti ya Leo.
Hapo wamerudia ripoti ambayo wengi wameomba irudiwe.
Msimuliaji alikuwa ni mama ambaye mume wake...
Nafanya kazi kweny taasis mfanyakaz mwenzangu ni binti toka siku yakwanza nimeajiriwa mapokez yake kwang kama hakufurahia ata akiniona ofisin hubadilika kabisa sasa hiv majuz zilivyoanza story za...
Mabibi na mabwana natumaini wote mu muwazi nawakaribisha nyote tujadili suala hili mtambuka yaani Upendo/mapenzi na pesa
Wakati fulani I think that even marriage vows should be changed On Her...
Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika...
Kuna wanawake wanaudhi sana, yaani hata noma haoni hivi mtu anakuona umetoka kwenye majanga, tena hapo ndo amekuja kukuliwaza, umemla kaondoka baadae anaanza leta mambo ya mizinga.
Ndani ya wiki...
Huu ni mstari uko kwenye Biblia unasema hivi "Mwanamke ni kiumbe dhaifu tuishi nao kwa akili" je! ina maana mwanaume kushindwa kuishi na mwanamke anakuwa hana akili" ebu wenye kuweza kufafanua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.